Marehemu Kibo Marealle

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Kifo cha Kibo Marealle kimenishtua sana hasa ukizingatia kuwa alikuwa ni kijana,
na kabla mauti hayajamfika usiku wake alikuwa kwenye party akionekana ni
mzima kabisa na alijumuika katika sherehe, Ningependa kujua kama kuna mwanajamvi yoyote
anayejua sababu ya kifo cha kibo Marealle atupe habari
 
Jamani mtu amesha kufa sababu ya kutaka kujua kilicho muua wewe ya nini? kawaulize ndugu zake,Naona kuna kitu unataka kukiongea ila unasubiri watu wengine wachokonoe ili umwage radhi!
 
Kifo cha Kibo Marealle kimenishtua sana hasa ukizingatia kuwa alikuwa ni kijana,
na kabla mauti hayajamfika usiku wake alikuwa kwenye party akionekana ni
mzima kabisa na alijumuika katika sherehe, Ningependa kujua kama kuna mwanajamvi yoyote
anayejua sababu ya kifo cha kibo Marealle atupe habari

sababu ya kifo aijuay mola, binadamu tujiandae....si kila afaye ni mgonjwa mahututi na si kila mgonjwa mahututi hufariki.....si kila aliyehai ni bukheri wa afya na si kila aliyekufa alikuwa mgonjwa.....si kila aliyevitani hupoteza maisha na si kila aliye katika amani hubaki hai.[FONT=Arial,Helvetica][SIZE=-1][/FONT] .......[/SIZE]

Kwa mifano hiyo basi, inathibitisha wazi kwamba kifo chaweza kutokea katika mazingira yoyote yale. Kitendawili cha mauti kimekosa jawabu hadi zama hizi. Si wanasayansi wala madaktari bingwa wanaoweza kufafanua ni kitu gani kinachomfanya mtu awe maiti hali ambayo humfanya mtu ashuhudiwe na watu kutwa kucha bila ya yeye kuwashuhudia
 
Jamani hata mkewe alisema mume wake alikuwa mzima tu hajaumwa hata homa.

Siku yake ilifika

R.I.P Kibo M!!
 
Kibo Marealle amekufa usingizini,s iku ya Jumamosi usiku, usiku wa Pasaka, amekufa wakati ule ule ambao Yesu Kristu alipokuwa anafufuka.

Kwa kufa namna hiyo siku ya Pasaka, ina maana kwamba kifo chake miaka yote kitahusishwa katika mawazo yetu na Pasaka.


Kwa wale wanaouliza Kibo ni nani, Marealle yupi, Kibo alikuwa Mweka Hazina wa Shirikisho la Wenye Viwanda vya Kutengeneza Madawa Tanzania, pia Mwenyeketi ya Bodi ya Kampuni ya Madawa aliyoianzisha inaitwa 1997 Pharmaceuticals [nadhani].

Kibo alikuwa 'a nice fellow, always smiling' although I must say in death, he looked very stern, a very serious expression on his face.

Amekufa usingizini, no foul play is suspected, wamekwenda tu kumwamsha asubuhi, wakaona kwamba haamki.

Walisoma wasifu wake katika mazishi, kwamba Kibo alikuwa mkarimu sana. I can testify to that. Last time nilipomwona Kibo, nilimuomba na alinipa, 1000tsh.[it was all I had asked for].

I packed my bags to go to his funeral. Unfortunately nilipofika pale nyumbani kwake, Jangwani Beach, nilichelewa usafiri. Na wale niliowakuta pale walikuwa hawanifahamu, [na mimi pia nilkuwa siwafahamu, isipokuwa tu yule mke wake, Mercy, ambaye nilimuona mara moja tu, siku moja Kibo aliponipeleka nyumbani kwake] they did not notice my presence, they did not acknowledge my presence, they put the casket into the hearse car, they got into their cars and they rode off to Moshi.

Basi, nikaondoka pale. I thought for a moment, nikaamua, I will go to Ubungo to take a bus. Kuhusu wale watu ambao hawakuniona, I will not worry about them, kwa sababu Kibo namfahamu toka zamani.

Kwa hiyo nikaenda Moshi, I attended funeral. Mr. Reginald Mengi pia alihudhuria, [yule mkubwa wa Familia ya Mareallle aliongea maneno mengi kumsifu Mr. Mengi, kwamba, ''wewe Mengi, unafanya Mengi ambayo yanawasaidia wengi.''

Pia alikuwepo Freeman Mbowe na Mama Nsilo Swai, ambaye alikuwa Godmother wa Kibo. Mama Nsilo Swai, alituambia kwamba Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri alituma salamu kwa Familia ya Marealle, na kwamba, apparently, hata Chama Cha Mapinduzi pia kimetuma salamu za rambi rambi. Kwa hiyo nina hakika, Familia ya Marealle ilifarijika.


Pia walikuwepo katika mazishi,Simba Marealle na Janet Marealle,ndugu zake Kibo, baba mmoja, mama mbali mbali.
 
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
 

Attachments

  • Toco Toucan.jpg
    Toco Toucan.jpg
    63.8 KB · Views: 176
Asante Ganesh. Kibo was real known to you and you have done what you were able to do see him laid down to his eternal house/bedroom. His soul ofcourse as we beileve will be with Almighty God. God bless us and let us know the time of our demise from this world.
 
Ganesh asante sana kwa a brief about Kibo. Na katika yote nimefurahia sana moyo wako wa ubinadamu, imagine kuamua kutoka hapa DSM kuelekea Moshi kwa mazishi. Ni jambo la kibinadamu mno umeonesha, umenifundisha mengi kwa jambo hilo. Ila tu kwa Kibo japo anatoka a well to do clan lakini alikuwa ni mtu wa watu. Ule Umarialle alikuwa ameuweka pembeni sana. Ni pigo kwa mke na watoto, na wanafamilia nzima. Poleni sana.
 
Back
Top Bottom