Marehemu Ally Zona amezikwa jioni hii Katika Kijiji cha Semngano Wilayani Muheza

dr slaa sio mtu mzuri mtu amekufa kutokana na kiherehere chake cha maandamano lakini hajaenda kumzika.kweli marehemu ametumika kisiasa
 
Wale wajane wa Mauaji ya Arusha wanadai Pesa yao Iliyochangwa Pale Unga Ltd 10M msijisahaulishe,maana pale mlishiriki msiba kwa mbwembwe mkaja kupotea kama Rage alivyowakimbia Nduguze Mafisango!
 
kwani kuulizia rambirambi kuna ubaya gani maana tukijua ni kiasi gani tutajua chadema wamewajibikaje kwanza kwanini viongozi wa kitaifa hawakuhudhulia

Kuua muue ninyi,nakisha muwaulize chadema kiasi cha rambirambi!,kwanini usiseme sisiemu/serikari imeshiriki vipi ktk shughuri za msiba? Acha upuuzi.
 
wewe mbele,sisi nyuma,r.i.p kamanda,alaaniwe na mola aliyesababisha umauti wako
 
Hapa mi nasita kujiuliza ni kwanini tunadanganyana maana uchunguzi hausemi kwamba ni risasi bali ni kitu kigumu
tumekua wahuni wa kupitiliza .hapa nilitegemea kwamba jeshi la polisi lingeomba radhi kwa wananchi kinyume chake
wameanza kutengeneza muvie nyingine The Ulimboka 2 sasa kama polisi wanarusha risasi za moto kwenye kundi la watu
wanawatisha watu au wanalinda watu , hawa ni wana usalama au wachafua usalama na kama ishu za kuuua raia wasio na hatia zikiendelea namna hii basi ipo siku litatokea tukio la kutisha zaidi
'SISI WOTE TUNAPITA TU ALLY AMETANGULIA APUMZIKE KWA AMANI,MALIPO YA HAYA NI HAPA HAPA TUOMBE UZIMA 2015"
 
dr slaa sio mtu mzuri mtu amekufa kutokana na kiherehere chake cha maandamano lakini hajaenda kumzika.kweli marehemu ametumika kisiasa
Mnasubiri misiba Kama ya kanumba mjilimikishe ccm bwana!!! Msiba wa baba yake shigongo mlikuwa namba one kuhudhuria
 
Poleni sana wafiwa wa KARIBU (Ndugu, jamaa na majirani kwa kuzaliwa). Nasema wa karibu kwani wapenda amani na uhuru wa kweli, wote ni wafiwa. Inauma sana aliyewajibika kukulinda ndiye anakuwa chanzo cha kifo chako. RIP Ally.
 
dr slaa sio mtu mzuri mtu amekufa kutokana na kiherehere chake cha maandamano lakini hajaenda kumzika.kweli marehemu ametumika kisiasa
Ni Kweli unavtosema mzuri ni Mh Jakaya Kikwete Amiri Jeshi Mkuu na IGP Mwema eeh nilisahau Nchimbi aliyeunda copy ya tume
 
Back
Top Bottom