GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,471
- 108,599
Hivi sheria gani ya Soka ambayo FIFA pia wanaitambua isemayo Kona ikiwa inapigwa huku Mabeki Wawili wakiwa katika Milingoti halafu Mchezaji wa Timu Pinzani akatokea mbali na Kuruka hadi Kufunga zuri ni Kuotea?
TFF, Bodi ya Ligi na Chama cha Waamuzi nchini Tanzania endeleeni tu Kuulea huu Upuuzi kama uliotokea jana pale Gwambina Stadium ila nawaambieni kuna Siku mtakuja Kuokota Maiti za Marefarii na Washika Vibendera Viwanjani ndipo Akili zenu zitawakaa sawa.
Nitashangaa kama ndani ya Saa kati ya 24 hadi Saa 72 sijasikia Yule Mwamuzi na Mshika Kibendera Mfupi kama Kiberiti wa Mechi ya Jana ya Gwambina FC na Simba SC pale Misungwi Mkoani Mwanza hawajafungiwa Kuchezesha Ligi Kuu kwani huenda Jana matokeo yangekuwa mengine Amani Uwanjani ingetoweka na hata Damu pia Kumwagika kwa Fujo Kubwa ambayo ingetokea.
Kuna Vitu vinakera na havivumiliki tena.