Marefa wa CHAN Cameroon

vipik2

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
2,803
2,185
Nimeangalia jinsi marefa wanavyochezesha Mpira huko Cameroon nikafurahi Sana kuona wapo vizuri na wanajali standards za sheria zote, ndipo nilipopata hamu ya kujua je ni akina nani na wanatoka inchi gani. Kwa mshangao karibu kila inchi imetoa marefa kadhaa lakini Tanzania hatuna hata refa mmoja anayewakilisha,

Je, TFF wanaweza kutupa jibu zuri tofauti na kwamba timu yetu itafanya vibaya kwa sababu wamezoea kubebwa na marefa vihiyo?
 
Marefa wetu wa kupewa miamala ya Trump hawafai kuchezesha hata ndondo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom