py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,471
- 4,424
Mechi ya klabu bingwa iliyochezwa Burundi chini ya Waamuzi toka Tanzania wametuhumiwa kwa mambo ya rushwa na upangaji matokeo.Waamuzi hao ni Israel Nkongo Mujuni (Kati), Soud Lila (Assistance referee no2) pamoja na Frank Komba (Assistance referee no1). TFF walipokea barua kutoka CAF 23 February 2018, kwa tuhuma hizo ambapo inadaiwa siku moja kabla ya mpambano huo viongozi wa Rayon Sports ya Rwanda walionekana wakiwa na waamuzi hao chumbani nchini Burundi na vurugu kubwa Sana ilitoke hotelini siku moja kabla ya mechi .
Taarifa hii imetolewa leo na kaimu katibu
TFF Wilfred Kidao.
Taarifa hii imetolewa leo na kaimu katibu
TFF Wilfred Kidao.