MARCEDES BENZ SLK VS MARCEDEZ BENZ E SERIES VS BMW 5 SERIES VS VOLVO V40

themathematicalmodelling

Senior Member
Feb 2, 2018
174
316
habarini wadau hapa JF
naomba ushauri kwenye hizo gari tajwa hapo juu yaani what is the best kwa vigezo vifuatavyo
1:uimara yaani durabillity
2:kuaminika na uhakika yaani reliabillity
3:perfomance
4:mafuta engine size isizidi 2500cc
5:reusabillity
6:adaptabillity
7:eek:thers factors
jamani naomba mniambie pia na mwaka wa gari kutengenezwa mfano bebz slk ya 1999 au bmw 540i ya 2007 please naombeni ushauri wenu wadau binafsi napenda benz slk ila naombeni ushaurini wenye naombin saana msaada wenu
my regards
 
Ndugu yangu kwa upande wangu naona ni vigumu kukupa ushauri au kulinganisha magari tajwa kwa sababu kubwa moja,ni vigumu sana kutoa ulinganisho wa maana kwa magari ambayo yapo makundi tofauti.
Ninachomaanisha makundi tofauti ni kwamba soko lengwa na hayo magari ni tofauti. Hapo magari yaliyo class moja ni mercedes E class and BMW 5 series----family sedan
Mercedes SLK ni coupe/roadster magari yaliyo kundi moja na hilo ni kama Audi TT/BMW Z4 etc etc
Volvo V40 ni hatchback/hothatch na magari ya kundi hilo ni kama bmw hatchback/mercedes A class/Audi A3 etc etc.
 
duh!
umetoa uwanda mpana sana boss.

ila ngoja wajuzi waje..
 
okay naomba ushaurii wa brand ipi ni bora kati ya marcedez benz vs bmw vs audi vs volvo
i mean marcedes benz slk vs bmw z4 vs audi TT
marcedez benz e series vs bmw 5 series vs volvo sedan vs audi a6
 
Back
Top Bottom