MARBURG: Milipuko ya Magonjwa ya ajabu Uganda, Wanatengeneza virusi na kuvipandikiza kwa waafrika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MARBURG: Milipuko ya Magonjwa ya ajabu Uganda, Wanatengeneza virusi na kuvipandikiza kwa waafrika.

Discussion in 'JF Doctor' started by Top Thinker, Oct 30, 2012.

 1. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  Kwa wale ambao ni wafuatiliaji wa mambo mbali mbali yanayohusiana na silaha za kibaiolojia, watakuwa wanajua ni namna gani ambavyo silaha hizi zinafanyiwa majaribio.

  Nakumbuka wakati flani nilikuwa naangalia series ya 24 kile kipande cha Redemption wakati Jack Bauer yupo Africa, mliona jinsi mission iliyokuwa inafanywa na General Juma na watu wake, kuwafanyia watu majaribio kwa kuwa contaminate na virus ambao wanasababisha magonjwa ya ajabu.

  Kuna tetesi kwamba hata Uganda, jambo linaloendelea ndio hilo, kwa sababu mara kwa mara kila ugonjwa wa ajabu unaosababishwa na virus wa ajabu huibuka nchini humo,

  Mpaka sasa wamekufa watu zaidi ya 80 kwa ugonjwa wa Marburg.
   

  Attached Files:

 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Hiyo inaweza kuwa kweli mdau. Pamoja na jitihada kubwa zilizofanywa kuzuia mjadala mimi bado mpaka leo naamini kuwa hata virusi vya ukimwi (VVU) vilitengenezwa na Wazungu/Wamarekani na kupandikizwa huku Afrika. Siyo tu walitaka kutufuta kutoka uso wa dunia lakini vile vile makampuni yao yamefaidika kwa kufanya biashara za kondom, madawa ya kupima virusi, n.k. Na bado wanatutumia kufanya utafiti ambao mwingine unaweza kuwa na lengo la kuboresha ukali wa virusi na siyo kuviua. Ni imani yangu.
   
Loading...