Maralia na kasi zaidi

Baiskeli

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
336
61
mkuu wa kaya vp tena hii nyimbo siisikii siku hizi. zile shamrashamra na ving'ora za nyimbo hii ya maralia haikubaliki ktk uzinduzi wake hatupati taarifa zake sokoni, nilitegemea unge imba hii nyimbo ktk salaam zako za niu yia lkn sikuhisikia! au ndo majukumu ya nch yameongezeka mno ghafla? yamekuzidi? pole sana mkuu wangu maana hali ya nchi ni tete halina ubishi liko wazi kabisa. lkn mkuu bado ni jukumu lako. ukweli maralia inauwa kwa kasi zaidi. au mkuu ndo kasi zaidi ya ahadi?
 
Back
Top Bottom