MARAISI WA AFRIKA na Commitment zao je ni yupi angalau ananafasi na muda wa kutosha?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MARAISI WA AFRIKA na Commitment zao je ni yupi angalau ananafasi na muda wa kutosha??

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Josephine03, Feb 14, 2012.

 1. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kutokana na Msiba mkubwa ulioikumba Dunia juzi usiku wa mwanamuziki maarufu na mtunzi wa nyimbo Whitney Houston
  Je ni Yupi kati ya hawa unahisi ana hamu ya kwenda kwenye mazishi kuiwakilisha Afrika Masharik? Jibu na toa mifano hai kusisitiza jibu lako

  A)Museven (Uganda)
  B)Kikwete (Tz)
  C)Kagame (Rwanda)
  D)Kibaki (Kenya)
   
 2. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Whitney sio mtu muhimu sana Afrika Mashariki.natumai atazikwa na na wengine
   
 3. Kinyerezi

  Kinyerezi JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  :eyebrows::eyebrows:
  Sidhani kama uko jukwaa sahihi, napita tu
   
 4. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Hapo baba Mwafulani mwana asha kinamsokonyoka kiroho anatamani aende japo akapige picha na jenipher hudson
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ameshatuma salamu za maomboleza kwa fax....LOL!!
   
 6. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe kwako muhimu ni nani????
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hahaa yaani JK kwanza kishatuma fax na email kuwatakia wafiwa wawe na subira na mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu cha kumpoteza jabali la muziki wa mahabat duniani..Pili anawatakia wananchi wa marekani pole na yuko nao katika wakati huu mgumu..TATU kama sio kelele za watu angependa ahudhurie mazishi haya lakini wafiwa wasijalai atajitahidi wakati wa arobaini /4o awepo atie fatiha mbili tatu kidogo
   
 8. L

  Luluka JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ha ha ha!mbavu zangu mie!
   
 9. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wewe mleta mada acha majungu.
   
Loading...