Marais watakaohudhuria sherehe za Uhuru ni Mugabe, Nkurunziza, Kabila, Museveni, Kagame...

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
615
WhatsApp-Image-2016-12-07-at-7.18.18-PM.jpeg

Marais mbalimbali kutoka nchi za Afrika wanatarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru kufutia mwaliko waliopewa na mwenyeji wao Rais Dkt Magufuli.
  1. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe,
  2. Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),
  3. Rais Yoweri Museveni wa Uganda,
  4. Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi,
  5. Rais Paul Kagame wa Rwanda,
  6. Rais Edgar Lungu wa Zambia,
  7. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na
  8. Rais Denis Sassou Nguesso wa Congo Brazzaville.
 
View attachment 443917

Birds of the same wings fly together/nionyeshe marafiki zako niijue tabia yako
 
View attachment 443917

Marais mbalimbali kutoka nchi za Afrika wanatarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru kufutia mwaliko waliopewa na mwenyeji wao Rais Dkt Magufuli.
  1. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe,
  2. Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),
  3. Rais Yoweri Museveni wa Uganda,
  4. Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi,
  5. Rais Paul Kagame wa Rwanda,
  6. Rais Edgar Lungu wa Zambia,
  7. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na
  8. Rais Denis Sassou Nguesso wa Congo Brazzaville.
Kitafanyika lkikao cha madikteta wa africa
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom