Marais wastaafu wamzika aliyewahi kuwa waziri wa viwanda na biashara Iddi Mohamed Simba

kawoli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
5,994
2,000
Kuhudhuria misibani au kwenye shughuli za kijamii ni hulka ya mtu mwenyewe. Tabia hii haijengeki eti tuu kwakuwa ni kiongozi. Hivyo sishangai kikwete kuhudhuria kila msiba kama Steve Nyerere wa bongo muvi au magu kutohudhuria misibani maana hii ni tabia ya mtu mwenyewe binafsi. Ili mradi huwa anatuma delegation ya serikali inatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom