View attachment 1603958
Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam
View attachment 1603960
Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali Kawe beach Dar Es Salaam
Mtu fulani anatafuta justification ya yeye kujijengea hekalu.
Lissu atakuwa rais October hiihii hivyo atazuia ujenzi wa Hilo hekalu usiwe na wasiwasi.Mtu fulani anatafuta justification ya yeye kujijengea hekalu.
Maana yake nini
Hapo imekaa vyemaIpo kisheria kama wengine wanavyopewa magari baada ya kustaafu
Mwenye nacho anaongezewa mkuuMtu fulani anatafuta justification ya yeye kujijengea hekalu.
Wangejenga butiama
Hii sheria ingekuwa kwa watumishi wote wa umma.Wamekosa Nini hao..? Kweli mwenye nacho huongezewa
Ni sheria mkuuHakika mwenye nacho huongezewa.....hawa wazee wetu wastaafu pamoja na benefits zote...bado wanajaziana nyumba tu.
Wananchi wanazoa maji tu majumbani...
Poleni wapiga kura.