Marais wastaafu wa Africa watua Kenya - Mkapa yumo

Nshomile

Member
Nov 21, 2007
47
0
Ex-presidents visit victims

Published on January 9, 2008, 12:00 am

By Stephen Makabila

Four former African Presidents visited displaced victims of post-election violence in Eldoret, on Tuesday, and appealed to Kenyans to stop fighting and unite to save the country from collapse.

The four retired Presidents also said they were ready and willing to offer some counsel on how to enable the country come out of its current political crisis, if leaders from the two political divides asked them to do so.

The four, who were accorded heavy security during their tour, were Mr Joaquim Chisano (Mozambique), Mr Kenneth Kaunda (Zambia), Mr Benjamin Mkapa (Tanzania) and Mr Festus Mogae, (Botswana).

"We were shocked to hear what was happening and we have come to witness and console you. We will meet the leadership from the two opposing sides to reflect on our findings," said Chisano, who was the chairman of the team.

A series of violence, deaths, displacements and destruction of property occurred in most parts of the country last week, after President Kibaki was declared the winner of the Presidential election, which has been disputed by the ODM.

The former Presidents who were accompanied by Rift Valley PC, Mr Hassan Noor Hassan and Eldoret Catholic Bishop Cornelius Korir, toured the Kenya Assemblies of God church in Kiambaa village near Eldoret town, where over 30 displaced victims died after it was petrol-bombed last week.

They also toured thousands of displaced victims camping at the Eldoret Showground and the Sacred Heart of Jesus Cathedral in Eldoret town.

At the Cathedral, Ms Jane Mweru and Mr Kamatu Wandong gave a brief account of what transpired during the violence.

"We are suffering because we lost members of our families and our hard earned properties destroyed. We thank you for coming to console us and for your love," said Jane.

Kamatu told the former Presidents that police did little to assist them during the attacks. He said: "Some of the police watched as a man was killed near my home where raiders also slaughtered nine goats and roasted meat to feast without any hurry."

Chisano and Mkapa asked Kenyans to stop attacks against each other but cultivate peace and strengthen roots of their nationhood.
 
Je hii itasaidia kuleta amani na kuwakutanisha hawa madumu wawili? Naona Kibaki anakuja kasi na anakwenda kinyume na ushauri unaotolewa na wanadiplomasia....sasa ebu tuone hawa maex-pres kama watasaidia kumshsuri mzee wa kikuyu kutuliza ball.

Ex-presidents visit victims

Published on January 9, 2008, 12:00 am

By Stephen Makabila

Four former African Presidents visited displaced victims of post-election violence in Eldoret, on Tuesday, and appealed to Kenyans to stop fighting and unite to save the country from collapse.

The four retired Presidents also said they were ready and willing to offer some counsel on how to enable the country come out of its current political crisis, if leaders from the two political divides asked them to do so.

The four, who were accorded heavy security during their tour, were Mr Joaquim Chisano (Mozambique), Mr Kenneth Kaunda (Zambia), Mr Benjamin Mkapa (Tanzania) and Mr Festus Mogae, (Botswana).

"We were shocked to hear what was happening and we have come to witness and console you. We will meet the leadership from the two opposing sides to reflect on our findings," said Chisano, who was the chairman of the team.

A series of violence, deaths, displacements and destruction of property occurred in most parts of the country last week, after President Kibaki was declared the winner of the Presidential election, which has been disputed by the ODM.

The former Presidents who were accompanied by Rift Valley PC, Mr Hassan Noor Hassan and Eldoret Catholic Bishop Cornelius Korir, toured the Kenya Assemblies of God church in Kiambaa village near Eldoret town, where over 30 displaced victims died after it was petrol-bombed last week.

They also toured thousands of displaced victims camping at the Eldoret Showground and the Sacred Heart of Jesus Cathedral in Eldoret town.

At the Cathedral, Ms Jane Mweru and Mr Kamatu Wandong gave a brief account of what transpired during the violence.

"We are suffering because we lost members of our families and our hard earned properties destroyed. We thank you for coming to console us and for your love," said Jane.

Kamatu told the former Presidents that police did little to assist them during the attacks. He said: "Some of the police watched as a man was killed near my home where raiders also slaughtered nine goats and roasted meat to feast without any hurry."

Chisano and Mkapa asked Kenyans to stop attacks against each other but cultivate peace and strengthen roots of their nationhood.
 
wamwambie tu kuwa ss tumestaafu na ziko kazi nyingi tunafanya na muhimu zaidi kama hizi tafadhali njoo kwenye kambi yetu hatutokuangusha.

halafu speech ya Ben ilikuwa kali kinoma, mzee bado yumo, na mvuto wa speech wake unatisha utazani bado yupo mgogoni
 
Hiyo speech ya Mzee Bn Mkapa sijaiona,......Mmtu wa pwani kama unaweza ukaipost hapa nitafurahi sana.
 
Mie nikimuona huyu fisadi Mkapa akijitia naye yumo katika kutaka kuleta amani Kenya, wakati amefanya mambo mabaya sana Tanzania katika awamu yake ambayo yanastahili kabisa kumtia hatiani huwa nasikia kichefu chefu kabisa.
 
Lakini hata kama Mkapa amelitia taifa hasara lakini bado alimaintain status ya amani. Kwa hilo ni bora tumuache na tumheshimu aliendeleze Kenya. Ufisadi kwa vurugu za kenya unasamehewa kidogo. Jamaa BM alikabishi nchi ikiwa na amani na wacha atoe some kwa majirani as long as asitoe some la ufisadi;
 
i support u muzeee atleast alitia hasara lakini hakutuletea mambo ya kenya na museveni ya kutaka tuu kubakia madarakani....tumheshimu kwa hilo na anajitahidi kushow how tuna status nzuri ya amani kwetu
 
Mie nikimuona huyu fisadi Mkapa akijitia naye yumo katika kutaka kuleta amani Kenya, wakati amefanya mambo mabaya sana Tanzania katika awamu yake ambayo yanastahili kabisa kumtia hatiani huwa nasikia kichefu chefu kabisa.

Bubu tuonyeshe kuwa wewe ni binadamu muongofu lakini stahili hii ya kujifanya una ushirika na mungu asiye msamehevu kwa watu wake inatukera hapa ndani tulio wengi. Tulishauliza mara kadhaa kuwa ndg yetu una chuki binafsi na huyu Xpresident wetu hukutaka kutujibu kabisa umeng'ang'ania Fisadi na blabla kibao.

Watu wanakufa Kenya wewe unaleta ufisadi,huna haya kiumbe dhaifu wa mungu msamehevu.

Mkapa alipata fursa ya kuwaonya Wakenya wote dhidi ya hulka potofu ya kung'ang'ana ktk ushabiki wa kikabila na kupuuza mantiki halisi ya muumba ya kutupatia makabila duniani; amewaomba wamtendee mungu haki kwa kuwaumba hivyo kwa wao kumtukuza mungu kwa kuheshimiana kwa upendo kwani wote ni matunda ya uumbaji wake.

Ameongea mengi sana yenye kufundisha,anaonekana ni makinina kuamini ktk kila aloliongea jana kule Eldoret.

Tunamshukuru mungu pia kwa wito wake kwa Kibaki na Raila.
 
Back
Top Bottom