Marais wa nchi za SADC waanza kuwasili tayari kwa mkutano wao unaoanza kesho jijini DSM

Kuna wapiga picha nadhani wa Channel Ten wameonekana wakipiga picha za viongozi wa nchi wakiwa juu ya vitalu vya maua. Pamoja na kwamba ni haki yao kupata picha nzuri,nadhani kiusalama siyo sawa na kinidhamu pia, huo ni uhuni unaopaswa kurekebishwa na wahusika wenyewe.... wajitathmini!.
 
Vipara vinawatoka jasho suti zimewabana kwelikweli wanmeshindwa kuanzisha hata Sarafu moja hawa ndio wasomi wetu wa cataristi
 
Lakini nini?!...mikutano miingi lakini ni ya kunywa pombe na mademu wa pwani tu tunataka kabla ya Kiswahili kuwa lugha ya Block sarafu moja ukiritimba mipakani ufutwe nenda leo Tunduma na Nakonde mizigo inakaaa mwezi ati SADC
 
Zimbabwe mkate dola 10.......Ngwena na delegation yake wanapunga upepo tu Dar....Watu wanakula raha tu hahahaha
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom