Marais wa EAC wako Arusha kuadhimisha miaka 25 ya Jumuiya. Mambo mawili kutikisa, Mosi kutekwa Besigye Nchini Kenya na pili Rwanda na Uganda vs DRC!

Vyuo vikuu vimegeuka kuwa extended high schools . Aliyezuiya migomo vyuo vikuu JPM ndiye aliyeua thinking capacity ya wanafunzi
Alaaniwe.
 
Kongamano la miaka 25 ya Jumuiya ya Africa Mashariki linaanza Leo jijini Arusha chini ya mwenyekiti wake Rais wa Sudan Kusini

Wanaharakati wa Kimataifa wako Arusha kuhoji kiongozi wa Upinzani wa Uganda alitekwaje Nchini Kenya

Pili wanaharakati wanahoji kwanini Marais Kagame na Museveni wanaihujumu DRC ilhali wako Jumuiya Moja

Jumuiya ya Africa Mashariki ilianza na Wanachama 3 na sasa wamefikia 8

Citizen tv
Unaota wewe.
Kuna raisi wa EA anayeweza kuzungumzia kutekwa kwa mtu kwenye nchi ya mwenziwe? Hao wote ni wauaji na watekaji tu
RIP MZEE KIBAO
 
Huwa najiuliza sana kama ule utoto anaofanya makonda una mu impress Samia Suluhu Hassan! Najiuliza sana!

..raisi kapokelewa na magari 500 ya utalii.

..pia wananchi wamepewa ofa ya nyama za kuchoma za bure, na kurusha fataki.

..ubunifu wa RC makonda huo.
 
Back
Top Bottom