Marais Uhuru na Magufuli kuzindua maboresho ya mpaka wa Namanga kwa pamoja

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,755
48,401
Japo Kenya na Tanzania leo hii hatuendani kwa ajili ya chokochoko zinazojitokeza kila uchao, lakini itawabidi marais wetu kuvumiliana na kuzindua kazi kubwa iliyofanyika ya kuboresha mpaka baina yetu.
Itawabidi watabasamu na kutoa matamko ya kuashiria umoja na ushirikiano halafu kila mmoja atarudi kwake ikulu na kuachia mapambano baina yetu yaendelee.
--------------------------------------------

President Uhuru Kenyatta and his Tanzanian counterpart, John Magufuli, are set to launch the Namanga border crossing tomorrow amid unresolved long-standing trade disputes between the two countries.
The Namanga One-Stop Border Post (OSBP) is one of a dozen others, which have either been launched or are being commissioned to ease trade flow within the six-nation East African Community (EAC) bloc.
The consolidation of border control functions in shared spaces between the two countries is meant to ease the turn-around time for clearance of goods by traders. The Namanga post, whose construction works started in 2014, has been open since October last year. Reports indicated earlier in the year official launch was put on hold due to the delayed installation of electronic equipment.
“The launch of Namanga OSBP paves the way for speedy clearance of goods moving in the main trade corridor between Kenya and Tanzania,” the Kenya Revenue Authority said in a note inviting guests.
“The Namanga OSBP is part of the EAC regional initiative, implemented jointly with Kenya and Tanzania, supported by development partners through the Japan International Cooperation Agency and AfDB (African Development Bank).”
Mr Kenyatta and Mr Magufuli are likely to revisit undying trade spats between the bureaucrats in both countries since they directed the differences to be ironed at a meeting in Uganda in February 2018.
Apart from Namanga, other border points between Kenya and Tanzania are Holili, Horohoro and Sirali.

Uhuru, Magufuli to open Namanga border centre
 
Sijui kwa nini wanailaunch na Watanzania kawaida hawawezi ishi bila majungu. Hawapendi amani na umoja. Wana chuki na unafiki. Wanapenda kusarbotage uchumi wa Kenya. Anyway wacha wapige picha, hamna namna.
 
Mkuu mpaka hapo hujui kwa nini wanailaunch?
 
Kuelewana na wakenya ni vigumu sana, kama alishindwa Nyerere ambaye anakaribia kutangazwa kuwa mwenye heri, na baadae kutangazwa kuwa mtakatifu(Saint), nani mwengine ataweza kuelewana na Kenya?
Sijui kwa nini wanailaunch na Watanzania kawaida hawawezi ishi bila majungu. Hawapendi amani na umoja. Wana chuki na unafiki. Wanapenda kusarbotage uchumi wa Kenya. Anyway wacha wapige picha, hamna namna.
 
Kuelewana na wakenya ni vigumu sana, kama alishindwa Nyerere ambaye anakaribia kutangazwa kuwa mwenye heri, na baadae kutangazwa kuwa mtakatifu(Saint), nani mwengine ataweza kuelewana na Kenya?
mwenye heri, mtakatifu

a killer???
 
mwenye heri, mtakatifu

a killer???
Sitaki kuingilia mambo ya imani (kuhusu kuwa mwenye heri au utakatifu) lakini wewe ni nani hata umhukumu mtu mwingine? Kwani hata kama mtu aliwahi kutenda dhambi, hivi akitubu na kumrudia Mungu wake bado ataendelea kuhesabiwa kuwa mwenye dhambi? Acha kuhukumu watu...
 
Sijui kwa nini wanailaunch na Watanzania kawaida hawawezi ishi bila majungu. Hawapendi amani na umoja. Wana chuki na unafiki. Wanapenda kusarbotage uchumi wa Kenya. Anyway wacha wapige picha, hamna namna.
Dar adamant on taxing Kenyan confectionery

Na ilianza hapa

Tanzania imposed the ban four months ago in order to ensure its food even as Kenya battles with a serious food shortage. Tanzania’s move was came about due to Kenya’s decision to ban seed exports in the region, with the Government saying it would ensure Tanzania had adequate food distribution before they listed the ban.
Tanzania lifts ban on maize export to Kenya
 
mzee wetu Magufuli jenga daraja na Kenya ili uwasaidie wakulima wako wanaotegemea soko la Kenya.
mwaka huu soko la mahindi na ngwara limeanguka kwasababu ya uhusiano wa Tz&Ky kuyumba.
Chuki kibiashara zimepitwa na wakati mkuu wetu
 
Mbona unazungumza mambo usioyajua?, huko Kenya kwenyewe kuna mvutano kati ya Serikali ya Kenya na wakulima wa mahindi baada ya serikali ya Kenya kutangaza being ndogo ya kununua mahindi, wakulima wa Kenya wanasema haiwalipi, sasa hilo soko la Kenya tayari limeshiba mahindi ya ndani ya nchi, vipi linunue ya Tanzania?
 
Sijui kwa nini wanailaunch na Watanzania kawaida hawawezi ishi bila majungu. Hawapendi amani na umoja. Wana chuki na unafiki. Wanapenda kusarbotage uchumi wa Kenya. Anyway wacha wapige picha, hamna namna.

aisee mbona maneno magumu hivyo!!??
 
Back
Top Bottom