Marais na vituko vyao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marais na vituko vyao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mayenga, Apr 6, 2011.

 1. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,740
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Robert Mugabe-kumwoa secretary wake.

  Banda wa Malawi-Aliwahi kuwa Dr.wa Malkia Elizabeth,amekufa bila kuwa na mtoto

  JK wa Tanzania-Kupigwa mawe,kutojua kwanini tuko maskini.

  jacob Zuma wa Afrika Kusini-Kuoa kila mara.

  Endelaaaaaaaaaaaaaa!
   
 2. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Gbabo wa Ivory coast anataka kumuongoza mtu ambae hataki umuongoze.

  Mwai Kibaki wa Kenya Kujiapisha(urais) wakati matokeo yanatangazwa.

  Bingu mutharika wa Malawi kutoka kwenye chama kilichomuweka madarakanmi na bado anaendelea kuwa rais.
  Yoweli Muzeni wa Uganda alikiri kwamba kuiongoza nchi masikini kipindi kirefu ni matatizo lakini yeye ni mwaka wa 26 huu yuko madarakani.

  Rais Mubarack wa misri ana utajiri kuliko Bill Gate.
   
 3. P

  Pokola JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  :bored:
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Dicteta Gaddafi mzee wa misikiti ang'olewa kwa nguvu
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ben mkapa kuwa kupigana na mkewe ikulu.
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jk anapomwambia magufuli acha ubabe wa kuvunjia wananchi mda si mrefu anakuja kumruhusu tena ni ktuko cha aina yake
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  Idd Amin.....kuwala nyama wake zake
   
 8. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Bill Clinton and Monica Lewinsky's sex scandal. She was (at the time) 22 years old, white house Intern.
   
 9. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  King Muswati na kuchagua mabinti bikira...!
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  rais Biya wa Cameroon kuoa mchumba wa mwanae
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,389
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  aisee habari yako binafsi.. Nimekutafuta yaeda yote huonekani aisee, umejificha wapi?
   
Loading...