Marais na Dhana ya ubambikiaji kesi dhidi ya Wakosoaji

Mkuu Samia anauwezo wa kuifuta hii kesi. Kama aliweza kufuta kesi alizozikuta za masheikh, rugemalira na wengine. Kwa nini hawezi kufuta hii ya mbowe?
Hapa hawezi kuchomoka
Ni kweli kabisa. Labda anataka amvue chupi mwendazake...
 
Kwa hiyo Jaji Siyani alipandishwa cheo wakati wa Jiwe sio??? Au huoni kuwa hiyo ilikuwa ni rushwa kwa mtendaji wa Mahakama. Kumbuka kwamba mlalamikaji ni Jamhuri na Kiongozi Mkuu wa Jamhuri akampandisha cheo Jaji mwenye jalada tena kabla hajatoa hukumu kwenye kesi ndogo. Wala usihangaike kumtetea.
Mkuu ndugu yangu, nakusoma kwa makini sana na naielewa mantiki yajo
 
Ni kweli kabisa. Labda anataka amvue chupi mwendazake...
Sasa ikiwa ni hivyo ilikuwaje siku ile alipohojiwa na BBC akasupport mbowe kukamatwa?
Tena akasema wenzake wameshafungwa, Sasa hapo anamvua mwendazake au anajivua mwenyewe?
 
Back
Top Bottom