Marais kuvaa nguo nyeusi wakati wa kutoa hotuba mwisho wa mwezi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marais kuvaa nguo nyeusi wakati wa kutoa hotuba mwisho wa mwezi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Apr 2, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Jamani naomba kuuliza ni nini maana ya viongozi wetu wakubwa hususani maraisi kama Benjamin Mkapa halafu na JK katika hotuba zao za kila mwisho wa mwezi huwa wanavaa mashati meusi je kuna maana yoyote kwenye hili jambo? Nakumbuka hata Benjamin Mkapa wakati ule alivyolazwa hospitali jijini UK japokua alikua anavaa ngo za hospitali lakini ilipofika mwisho wa mwezi kwenye kutoa hotuba yake kama ilvyoada bado alivaa nguo nyeusi! Jamani mwenye kujua nini maana ya hili jambo anijuze. Asante na nawasilisha.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Duu, jana sikumbuki Rais alivaa nguo gani. Kama ni kweli wote huvaa nguo nyeusi basi kutakuwa na jambo. Huenda nchi inaongozwa kwa matambiko!
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hiki ni kisiwa cha Great Thinkers kwanini sipati jibu kuhusiana na hili swali?
  [​IMG]
   
 4. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Na hii tena pia!
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  I don't think if there is any implications from such type of clothing................
  :help:
   
 6. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,568
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya pili si blue kweli?Ama macho yangu?Halafu ulimaanisha "Rais Kikwete wa Tanzania huvaa nguo nyeusi" ama "marais watanzania?huvaa nguo nyeusi?"If it the latter;then wapi picha zao?maana so far naona ni JK na on the pictures, si zote amevaa nyeusi.Pia make sure that the problem isnt that you're color blind.
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Jmushi1 nakushauri ule nyanya na Karoti ili uone vizuri! hata the fomer presidaa Mkapa alikua anava nguo nyeusi!
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Toa basi na za Mkapa japo tatu tofauti ili uaminike mzee.
   
 9. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hizi nguo nyeusi ni za kichawi. Hawa ni wafuasi wa GININGI.
   
 10. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Freemasonry??
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Unaanza kutuharibia hali ya hewa, kwa hiyo freemansonry ni uchawi!, mbona conducts zao zi wazi?, au wewe umetumwa na majini ya shehe yahya ili upindishe post hii?. Rudi kwenye post, kwa nini Jeikei anavaa nguo nyeusi?
   
 12. P

  Puza Senior Member

  #12
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ishara ya maombolezo nn?manake kila kukicha nchini majanga hayakauki.
   
 13. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 14. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 15. L

  Leornado JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mbona za Mkapa zote sio nyeusi?? au hilo giza ndo limefanya uone ni nyeusi?

  Mkapa na Nyerere hawana historia ya mambo ya gizani, wao ni hoja za msingi na kuchapa kazi bila kuangalia majini yanasema nivae nguo gani.
   
 16. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Sense of thinking deficits! aliyekuambia kuwa Freemanson ni uchawi nani!? anayekuharibia hali ya hewa sio mimi mkuu ni JK anayeshindwa kukidhi ahadi! good luck son!!
   
 17. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Shekhe al'maarufu aliahidi ulinzi usioonekana, ndo masharti yenyewe hayo
   
 18. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Nguo nyeusi ni za msiba.......
   
 19. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yanaongoza kwa nguvu za giza na mahirizi yanapumua kama chatu lazima wavae misuti mieusi tiii...yaani hapo JK anatamani avae na miwani ile ya giza lakini basi tu
   
 20. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hiyo inaitwa Kaniki, nguo asili ya Mtanzania!
   
Loading...