Marais Bora wa muda wote wa Tanzania ni Nyerere halafu Kikwete

Nyerere alifanya alichoweza kwa kipindi chake,uchawa ulitokana na mfumo wa chama kimoja na siasa za kikomunisti na vita baridi. Kwa sera mifumo ya wakati huo ilikuwa sahihi. Je Baada ya kubadilisha uendeshaji na mifumo kikatiba,Tujiulize uchawa wa sasa unatokana na nini hasa?ni mwendelezo wa matokeo ya historia au hatujafanya mageuzi sawasawa,haya ni mazao ya mfumo zamani uliozaa za kusifiana , basi kama tunataka mabadiliko/mageuzi kweli kweli ni lazima kuwa na KATBA MPYA ili Kubadili mifumo,mindset na dhana zote kuongeza uwajibikaji.Kauli za unaupiga mwingi zitapungua zenyewe tu au kutoweka kabisa na zitatolewa kiukweli bila unafiki wa kutafuta fursa kwa mwelekeo wa jamii kifalme vinginevyo zitatolewa pale itakapokuwa muhimu sana kwa kuzingatia ukweli.
Ni kweli kama Baba wa taifa alifanya vile kwa wakati ule kwa nini sisi tusifanye changes kulingana na wakati huu tuliopo
Miaka aliyotawala baba wa Taifa ni michache kuliko utawala alipoishia kutwala

Swali
Kwa nini bado tunaendelea kumnanga Mzee wa watu wakati nafasi ya kurekebisha upungufu wote uliopo Kwa sasa upo chini yetu?

Tuache ujinga Jk,Kikwete,Mkapa,Mawiny,Magufuli wamepita nini tunafanya kwa sasa kupambana na utawala uliopo

Raisi Samia
Kandamiza hapo hapo hakuna cha bure kwa sasa tufanye kazi mkono uende kinywani
 
Narudia tena na tena hatutakuja kupata Marais wanaojua siasa, Uongozi na utawala Kama Rais Hayati Nyerere na mstaafu Kikwete.

Nyerere pamoja na misukosuko yote ya vita ila alisimama na watanzania na Tanzania ilibaki kuwa moja.

Nyerere alikataa uchawa Kama ilivyokuwa kwa Kikwete mambo ya kusifiwa sifiwa Hawa watu walikuwa hawataki kabisa!!

Nyerere alikuwa ni zaidi ya kiongozi ndiye alijenga viwanda karibia kila mkoa halafu mkapa akaja kuviuza vyote.

Kuna watu wanamtukana Kikwete naweza sema ni wakurupukaji tu Kikwete mambo yote ya Rushwa na ufisadi yaliasisiwa na Mwinyi na Mkapa Hawa ndio waasisi wa ushenzi na ufisadi wa kupindukia unaitafuna Tanzania.

Rais Kikwete alitaka kila mtanzania ajue kinachoendela kwenye nchi yake na hakuwa na watetezi ndio maana alionekana fala wakati rais mzuri ni yule anayeweka transparent Ili yeye aje achukue maamuzi mwishoni.

Kikwete Kama asingekuwa Samia, Sita na Mkapa now toka 2015 tungekuwa na Katiba mpya.

Hizo IPTL, Dowans, Richmond, Buzwagi na uchafu mwingine ni zao la utawala wa Mwinyi na Mkapa sema watu tunaangalia matokeo lakini hatuangalii chanzo Cha hayo matokeo. Mkataba wa IPTL kwa mfano ulisainiwa mwaka 1994 kea Mara ya kwanza.

Kikwete alikemea udini kwa vitendo na hakuwa mnafiki aliwachana waislamu waziwazi kwamba hawawezi kuwa sawa na Wakristo.

Nyerere vile vile alikemea udini waziwazi kwa kusema yeye hateui kwa kuangalia dini ya mtu ila uwezo wake na Wala dini zao hazijui.

Rais Samia hawezi kukemea udini ambao unasambaa kwenye serikali yake.

Pia Magufuli alishindwa kukemea udini na ukabila na ukanda uliokuwa ukisambaa kwenye serikali yake.

Mkapa aliua watu zanzibar kiuni Sana na hapa alionyesha udini wa Hali ya juu sana!

Samia Kama ilivyokuwa Mkapa, Magufuli na wote hawataki kushauriwa kwa mtazamo wa ndani wanaonekana.

Mnaojua historia mkumbuke uhuru wa mahakama na uendeshaji wa kesi kwenye utawala wa Nyerere na Kikwete.

Rais Samia anahubiri utawala wa sheria halafu anawakumbatia watu wasiyofuata sheria ndani ya bunge na serikali.

Rais lazima awe wa watu, aruhusu bunge huru, akosolewe na awe mzalendo asiwe na makando kando ya wizi na ufisadi, asiwalinde majambazi na kuwatukana raia wake. Ndiyo maana kwenye utawala wa Nyerere watu wengi walijiuzulu na pengine utawala wa Kikwete ulivunja record ya watu kujiuzulu.

Sio mtu anajiuzulu kwa shinikizo la kumkosoa Rais.

Kwa Sasa hatuna Uongozi huu ni ukweli mchungu! Rais hapanic.

Mpaka kesho rais Bora ni Kikwete na Nyerere R.I.P.
Ni mawazo yako na binafsi ninayaheshimu. Ila mimi nina mtazamo tofauti.
 
Kumbe eeeh
 
Bado hajatokea. Hadi siku 50% ya Watanzania wamudu kula milo miwili tu kwa siku bila taabu.
 
Naona unaanza kufilisika kisiasa Mkuu, JK huyu anayenuka rundo la damu la marais wenzie ama JK yupi?

JK huyu bwanyenye ama JK yupi?

JK huyu dalali wa nchi na kuhani Mkuu ama JK yupi Mkuu?

Huyu huyu wa IPTL, Richmond na Dowans, ama JK yupi Mkuu?
 
Na kwa kukuhakikishia, huyu bwege siku kadondoka chali watu watalala na kushinda misikitini na makanisani wakimshukuru Mungu kwa kumalizana na mtu wake japo tayati katuachia makovu yasiyoisha kuanzia kwa Baba wa Taifa, Mzee Ben na Mwamba JPM.

Na ni kwasababu yake leo taifa halina mwenyewe, halina mkubwa wala mdogo wote ni kambale
 
Acheni kumfananisha Nyerere na Wapuuzi Wengine Afrika Mashariki au hata Afrika nzima sawa?

Kidogo ungesema anayeelekea Kufanana nae Kiuongozi na Kiakili ni Rais wa Rwanda Paul Kagame ningekupongeza na siyo Watu Wengine wa hovyo hovyo, Wezi na Wanafiki.

Na ambaye ndiyo nitakuja kuwa 100% kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere ni Mimi Mwalimu GENTAMYCINE na niombeeni tu Afya Njema na Uhai mrefu ili Watanzania wote mumuone Nyerere mliyempenda na mliyemlilia sana ndani yangu.
 
Kikwete Kama asingekuwa Samia, Sita na Mkapa now toka 2015 tungekuwa na Katiba mpya.

Acha porojo zako, Kikwete si ndio aliyeiweka rasimu ya Katiba ya Warioba kwapani akiogopa kama ingepita angeswekwa lupamgo kama Zuma? Ufisadi wake na HOME SHOPPING CENTRE!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom