Marais Afrika kutohudhuria sherehe za kuapishwa Felix Tshesekedi

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
5,705
4,738
Ni Uhuru Kenyatta pekee akiwa pamoja na kinara wa upinzani wa kenya RAO ndio waliohudhuria kuapishwa kwa raisi wa DRC Felix Tshesekedi.

je, maraisi wengi wa afrika hawakufurahishwa na ushindi huo? Huku kunatia tashwishwi support ya Afrika huru katika nchi zinazojaribu kujiendesha kidemokrasia.

Je, Kuna maslahi binafsi ambayo nchi hizi ziliyatarajia na sasa zimeona hayatimilizki?
Mbali na kualikwa wakuu wa nchi zaidi ya 17, sijaona hata majirani wa karibu kuhudhuria aghalabu kutuma ujumbe wa maana wa uwakilishi. Tanzania, Uganda, Zambia na Rwanda kwa uchache hakuna rais aliyehudhuria.

Binafsi sidhani kama ni picha nzuri, ukizingatia ni mara ya kwanza kwa DRC kuwa na uchaguzi wa kidemokrasia na Kabila kuachia madaraka kwa unyoofu.,,ni swala la kupongezwa sana hata kama kuna mapungufu yaliyojitokeza.

Screenshot_20190125-145025_TUKOcoke.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Rais wetu amehudhuria kuapishwa Rais wa nchi gani hapa duniani?,_Sie tunajenga nchi yetu na hatufungamani na yeyote. Hata angeshinda nani, tusingeenda
Ni Uhuru Kenyatta pekee akiwa pamoja na kinara wa upinzani wa kenya RAO ndio waliohudhuria kuapishwa kwa raisi wa DRC Felix Tshesekedi.

je, maraisi wengi wa afrika hawakufurahishwa na ushindi huo? Huku kunatia tashwishwi support ya Afrika huru katika nchi zinazojaribu kujiendesha kidemokrasia.

Je, Kuna maslahi binafsi ambayo nchi hizi ziliyatarajia na sasa zimeona hayatimilizki?
Mbali na kualikwa wakuu wa nchi zaidi ya 17, sijaona hata majirani wa karibu kuhudhuria aghalabu kutuma ujumbe wa maana wa uwakilishi. Tanzania, Uganda, Zambia na Rwanda kwa uchache hakuna rais aliyehudhuria.

Binafsi sidhani kama ni picha nzuri, ukizingatia ni mara ya kwanza kwa DRC kuwa na uchaguzi wa kidemokrasia na Kabila kuachia madaraka kwa unyoofu.,,ni swala la kupongezwa sana hata kama kuna mapungufu yaliyojitokeza.

View attachment 1004448

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa na kabila

Kuhusu mahakama.....

Akina JECHA wapo wengi
Wanafiki tu hao marais waliogoma kwenda kisa Tseshekedi kashindishwa kwani marais wangapi Afrika hii wanashindishwa au wanashinda kwa nguvu na wanamiminika kwenye uapisho wao? Au walitaka Ramazani wa chama cha Kabila ndo ashindishwe ndo waende? Hao hata angeshinda Martin Fayulu wasingeenda walimtaka Ramazani

Mkuu African tunamambo nyingi mbofumbofu
 
Back
Top Bottom