Kabulala
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 695
- 935
Hello Everyone!
Ninaamini wengi wenu mtakubaliana na Mimi kuwa Marais Mkapa, Kikwete na sasa Magufuli wameonekana kufanya vizuri zaidi kwenye masuala ambayo walishughulika nayo kabla hawajainuliwa na kuwa Viongozi wa Nchi, Mkapa alikua MTU wa Press na Foreign affairs.
Tuliona alivyo engage Sana wageni katika uwekezaji (hotuba pia zilikua hot). Akaja JKikwete tokea Foreign affairs, Akatutangaza dunia mzima(some argue that he spent between 20-30percent of his Tenure Taking/introducing Tanzania to the Globe. Na sasa tunaye Mbobezi wa Miundombinu Rais Magu.
He needs no introduction, anaendeleza mipango mikubwa ya infrastructure tokea Sekta ya Ujenzi na miundombinu.
Kwa kufuata mtiririko huu.
Napendekeza SASA kama Taifa tuandae Mkulima au MTU mwenye experience ya Kilimo/Wizara ya kilimo na ambaye Yuko active katika Kilimo ili atuongoze Kwa style niliyoitaja hapo juu.
Kwa mbinu hii UTI WA MGONGO wa Taifa letu utapata attention na tiba inayostahiki. Na ili tusonge vizuri PM Atokee viwanda na Biashara.
Note: Mkapa spent many years in one Department before ascending, Kikwete spent 10years at Foreign, Magu spent a whopping 17years at the ministry of infrastructure so yaliyotokea na yanayotokea sio Kwa bahati mbaya.
Next tuweke kutokea Kilimo na PM wa Viwanda na Biashara na Tanzania itakuwa Vava Voom!