Marafiki

Mbuty

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
411
236
Hellow,naitwa Sean nina miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana pale IFM,ninaishi Dsm. Natafuta marafiki,any gender maana I'm interested in networking pia,I'm not married nor in anything serious,napenda kushauri,kusaidia na kuwa ktk sehemu ya suluhisho. Just inbox me kwa 0779135909. Asanteni

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wewe ni ME au KE? Then hiyo CV ipeleke recruitment agencies watakusaidia zaidi!
 
Oh sorry kumbe jina la Sean hutumika pia kwa wadada sikufahamu,read between the lines,I'm after networking na mara nyingi that goes with no gender in particular,marafiki I hope wamenielewa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Oh asante Kongosho,ninafanya kazi pia,nipo na kampuni moja working as an NGO and a microfinance empowering women. Karibu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
oh asante kongosho,ninafanya kazi pia,nipo na kampuni moja working as an ngo and a microfinance empowering women. Karibu

sent from my blackberry 9700 using jamiiforums

non governmental organisation ipi???? Ngo ipi???
 
Back
Top Bottom