Marafiki

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,654
Helo jf natafuta marafiki wa kubadishana+nao+mawazo unaweza kunisend+sms kupitia Namba 0763651341+
 
Heheheee. Tunaelekea kufanana majina. Thats why nilikuuliza. :)
 
yaani uchukue mawazo yangu na mimi ya kwako basi? mawazo yako yakoje ili nione kama nitapenda kukubadilishia uchukue ya kwangu
 
heheheee. Tunaelekea kufanana majina. Thats why nilikuuliza. <img src="/images/styles/jamiiforums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="smile" smilieid="307" class="inlineimg" />

umeonaeee!!!!!!
 
<b>yaani uchukue mawazo yangu na mimi ya kwako basi? Mawazo yako yakoje ili nione kama nitapenda kukubadilishia uchukue ya kwangu

Changamoto zinazowakabili hasa vijana na jinsi ya kuzitatua hali kadhalika future plan hayo ni kwa ufupi tu bebi
 
Mi napenda pia kusikia mawazo ya watu wengine ila ilo sharti la mpaka sms ndio limenishinda. Hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo?
 
Mi napenda pia kusikia mawazo ya watu wengine ila ilo sharti la mpaka sms ndio limenishinda. Hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo?
Kama unajua njia nyingine unaweza uka2ambia coz hapa inahitaji m2 atumie mda mwingi kwenye internet.
 
Karibu sana utawapata...Bebii ameisha kubali au haukumuelewa aliposema
yaani uchukue mawazo yangu na mimi ya kwako basi? mawazo yako yakoje ili nione kama nitapenda kukubadilishia uchukue ya kwangu
Kwenye red kwa maana kwamba unachotafuta na yeye ndo hicho hicho so ameshakupa green light..eeeh mMP tu.
 
<b>yaani uchukue mawazo yangu na mimi ya kwako basi? mawazo yako yakoje ili nione kama nitapenda kukubadilishia uchukue ya kwangu</b>
<br /> <br / bebi unataka kusema hata kama sio mawazo tu+hivyo vingine hutakubali
 
Wewe unasubili ni Apolonary? Wewe tumie bebii sms kwenye akaunti yake mpe details zako atakuelewa..
 
Mtaani kwenu hakuna watu wa kubadilishana nao mawazo?
 
sasa si tungebadilishiana humu woote labda utapata wazo thabiti la kujikwamua na hizo ngangamoto? mbona mnatubagua,ama nyie changamoto zenu tafauti na zetu?
Changamoto zinazowakabili hasa vijana na jinsi ya kuzitatua hali kadhalika future plan hayo ni kwa ufupi tu bebi
 
sasa si tungebadilishiana humu woote labda utapata wazo thabiti la kujikwamua na hizo ngangamoto? mbona mnatubagua,ama nyie changamoto zenu tafauti na zetu?
<br />
<br />
mamkwe hebu tupia namba yako hapa tubadilishane mawazo. Mawazo yangu yameeksipaya.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom