Marafiki zangu watatu wametembea na mke wa mtu, sasa wanataka mumewe ajue

Apr 6, 2020
21
92
Nina marafiki zangu watatu nao ni watumishi wameajiriwa katika idara fulani ya umma katika mojawapo ya halmashauri za mkoa wa Mara.Ndani ya mwezi mmoja kuanzia machi mpaka sasa wote wamefanikiwa kufanya mapenzi na mke wa Mzee mmoja anayefanya kazi masijala bila ya mke huyo kujua kama hao ni marafiki!

Kilichotokea ni jamaa wa kwanza kupata hasira baada ya kufuatilia barua yake ya Likizo na alipoingia ofisi ya Masijala yule mzee akaanza kumfokea kwa kumcharua kwamba hajavaa kihaiba na anapaswa akabadilishe mavazi na kupunguza nywele! Kama masihara yule kijana ambaye ni mwenyeji wa mkoa wa Kagera akawa amesusia ila barua na kilichofuata ni kutafuta namba ya mke wa huyo mzee ambaye ni mwenyeji wa mkoa wa Dodoma.

Ndani ya siku tano tu akafanikiwa kumvua chupi yule mke wa jamaa katika siku ya gulio(huku wanaita mtera) na baada ya hapo akawapa namba jamaa zake wawili ambao kwa nyakati tofauti nao walimtongoza yule mama na wakafanikiwa kulala nae! Yaani hata hakustukia chochote!

Nimefanikiwa kuona charts za yule dada na hawa jamaa zangu kuanzia kutongozwa mpaka kwenda kuwavulia chupi!Tatizo liliopo kwa hawa vijana wanataka yule mzee aelewe kwamba wametembea na mke wake!

Kiukweli Vita ya Ukimwi ni ngumu sana!
 
Angaza ni bure, Ila kucheck huwa ni hiari yako.


Habari ni kwamba siku izi mume namke wote ni watumiaji wa mbaazi.
 
'Hua nikifikiria vitu Kama hivi...naona kabisa kuoa na mimi, tunazidi pigana chenga."
Alisikika mlevi mmoja akisema nyuma ya dirisha langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuoa mkuu inabidi uwe tayari kwa kila kitu na ujiandae hasa, siyo kiuchumi tu, bali hata kisaikolojia na uwe na kifua hasa. Vinginevyo waweza ishia kuchukua maamuzi magumu mpaka dunia ikakushangaa
 
Kuoa mkuu inabidi uwe tayari kwa kila kitu na ujiandae hasa, siyo kiuchumi tu, bali hata kisaikolojia na uwe na kifua hasa. Vinginevyo waweza ishia kuchukua maamuzi magumu mpaka dunia ikakushangaa
Swali ni moja hapa.
'walio kwenye ndoa wanapata nini cha maana ambacho wasio na ndoa hawakipati!?' au "Ya nini kufuga ng'ombe na nikitaka nyama na maziwa napata"
W.T.F

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom