MArafiki zangu wa JF nliookutana nao ana kwa ana majina yao yalinichosha

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
1. Anindulile Andendekisyse Mwasyunguti Kibopile.
(Jina Moja)
2. Mwaitako Mwaipumbuje
3. January Ogast
4. Furahia Mwaliko
5. Shida Matatizo Halisi
6. Chaudaku Maneno
7. Chausiku Mzozo Hakiliki.
8. Zamzam Upweke Makosa
9. Nakita Magoma Kiwewe
10. Ndamatile Ndetilya Nditovi Ndunguru.
11. .
12. Inaunga Onjaonja
13. Mbwiga Mtendawema
14. Silipi Denidumu Msafiri
15. Siwema Mpenda Mapenzi. Wengine Ni Marafiki zangu mpo humu, Msinielewe
vibaya nimeshidwa tu kujizuia ukipenda niite double biii
 
Angalia kwanza upo jukwaa gani kablaa ujajibu

kuwa chit chat haimaanishi mtu hawezi kukusahihisha....na kama uzi wako ulilenga utani na viloja basi hapa si jukwaa husika.
ukiweka uzi usifundishe watu jinsi ya kuuchangia...
 
na 13 inanikumbusha Mbwiga wa Mbwiguge Mkola wa Nyani Kibwaya Mkia
 
kuwa chit chat haimaanishi mtu hawezi kukusahihisha....na kama uzi wako ulienga utani na viloja basi hapa si jukwaa husika.
ukiweka uzi usifundishe watu jinsi ya kuuchangia...

Hili jukwaa linahusika na nini?
 
Mmmmmhh! Hivi kuna uwezekano wa kuonana na member uso kwa uso jamani?

Humu Chit-Chat kwenyewe kweli!
 
Back
Top Bottom