marafiki zako wamekuwa, ila wewe mbona hukui ??????

Munru

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
1,340
664
katika pita pita zangu kwenye mtandao nimekutana na hii picha , imeniachia mawaswali kibao,

wandugu, bajeti immepita na salary bado anatambaa, tutafika kweli ??????

224812_10150892903783564_2044684336_n.jpg
 
wananchi wa mikoa ya kati(dodoma,morogoro,singida) wakibadilika salary itakua,nawe pia badilika tuuwe ccm haraka
 
Kama mtu mpaka leo anaishi kwenye TEMBE unategemea mabadiliko kwa huyu mtu??! Labda umfanyie upasuji wa :A S new: ubongo:A S-confused1:
wananchi wa mikoa ya kati(dodoma,morogoro,singida) wakibadilika salary itakua,nawe pia badilika tuuwe ccm haraka
 
aaahh griiiiiiiiii.....hii nchi ingekuwa daladala ningeshashuka sikunyingi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom