Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Huwezi kujiita msafi wakati marafiki zako sio wasafi. Wanasema,ukitaka kujua tabia ya mtu angalia marafiki zake. Mtu mwenye nia ya dhati hupimwa kwa kauli na matendo yake.
Yeye hana kauli ya kukemea maovu yanayoendelea hapa nchini. Hivi ana msimamo gani? Baya ama zuri kwake poa tu. Halafu bado wanasema rais mtarajiwa,kwa vipi? Hatuwezi kuongozwa na bubu. Hana msimamo,hata kama ni uvumilivu wa kisiasa,mmmh hapana. Huu ukimya hauna maana kwa watz. Hauna msaada.
Hajawahi kuongea round building tangu akumbwe na dhahama za kisiasa. Kwake yeye yafuatayo ni poa tu.
1.migogoro ya wakulima na wafugaji. Ikiwemo kilosa,ngorongoro,kiteto nk
2.Escrow na ufisadi mwingine.
3. Uchakachuaji wa maoni ya wananchi. Hana neno la kutia. Yupo kama bendera fuata upepo. Eti tunamtaka awe rais. Ni aibu kuwa na rais asiweza kukemea hata mambo madogo kama haya. Nchi ataiweza? Kuthubutu tu kashindwa. Akipewa nchi ataweza?
4.Migomo ya madereva na madaktari.
5.Umaskini uliokithiri. Huku tukiambiwa safari ya matumaini,aibu. Safari ya matumaini inatofauti gani na maisha bora kwa kila mtanzania?
6.Migomo vyuo vikuu. Halafu bado wanasema alijenga shule za kata.
Pia,wanamwita mzee wa safari ya matumaini ili kuwapatia watz elimu bure. Kwa migomo hii? Hii ni kauli tu,haina maana yoyote. Kama hana uwezo wa kutoa kauli ya migomo inayoendelea nchini.je safari ya matumaini ataiweza?
Nahitimisha kwa kusema kuwa,muda wa kuwadanganya watz ulishapita. Maswaiba wako hatuwaamini,hatuwataki na hawana record nzuri. Mrisho mpoto aliwahi kusema,kama unakula vichafu nzi hawawezi kuacha kukufuata.
Watanzania tutafakari na kejeli hizi.