Marafiki wanaoishi DAR... Sio kabisa

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,138
22,709
Wana JF ... hili limekaa vipi?.. Mie nimetoka Mkoani nimekuja Jijini(DAR).. kwa Mapumziko kidogo, kusalimia ndugu na marafiki zangu....
sasa jamani ugumu nimeukuta ktk ishu moja... Rafiki zangu wa Ukweli,,nimesoma nao kabisa,,,tumeishi pamoja chuoni... tumekula bata(kujirusha) pamoja wakati nipo nao chuo...!!! Maajabu nimewatafuta niwaone wamekua watu wa ma promise yasiyokua na fulfilment... Sasa mie nikajiuliza hawa vijana wanaoishi dar... wanatuchukulia vipi sie tunaotoka Mkoa... wanadhani ua tunakuja lia NJAA..kwao auuu??? Acheni ujinga bana, tunakuja na hela zetu za mavuuno ...!!!
 
.......lol.... Umenifurahisha kweli na kunikumbusha mbali.... Data yaweza kua kweli una hela but kuna kitu kinaitwa personal dignity.... kawaida tumezoea mgeni wako akija um-hudumie na kumkarimu... hivo vitu vyahitaji pesa uwe nayo, saa ingine ukute tu hata mambo ya the person(s) in question ni mbaya kimaisha hivo anaona bora akukwepe kuliko akupe faida uone hali yake kua sio nzuri.... Pole saana....
 
Unaweza kuwalaumu, ila mjini mambo yanabana. Labda mwenzako hajaona umuhimu wa kuonana na wewe. Pia kuonana na kusalimiana si lazma.
 
.......lol.... Umenifurahisha kweli na kunikumbusha mbali.... Data yaweza kua kweli una hela but kuna kitu kinaitwa personal dignity.... kawaida tumezoea mgeni wako akija um-hudumie na kumkarimu... hivo vitu vyahitaji pesa uwe nayo, saa ingine ukute tu hata mambo ya the person(s) in question ni mbaya kimaisha hivo anaona bora akukwepe kuliko akupe faida uone hali yake kua sio nzuri.... Pole saana....

wameniboa saanaaa........ tatizo naondoka kesho.. siwezi wacheki watu wa JF.... may be next tym
 
wameniboa saanaaa........ tatizo naondoka kesho.. siwezi wacheki watu wa JF.... may be next tym

Watu wa JF mbona wapenda meeting new members... you know the wrong JF members basi....lol
 
Pole sana....kama walikupotezea hivyo....mbona jopo kubwa la JF lipo Dar....ungetumia fursa hiyo kuwatafuta.....Jf kuna watu wa ukweee....si kipolepole......

dah...nahisi nawe upo pande hizi Preta??
 
Wana JF ... hili limekaa vipi?.. Mie nimetoka Mkoani nimekuja Jijini(DAR).. kwa Mapumziko kidogo, kusalimia ndugu na marafiki zangu.... &lt;br /&gt;<br />
sasa jamani ugumu nimeukuta ktk ishu moja... Rafiki zangu wa Ukweli,,nimesoma nao kabisa,,,tumeishi pamoja chuoni... tumekula bata(kujirusha) pamoja wakati nipo nao chuo...!!! Maajabu nimewatafuta niwaone wamekua watu wa ma promise yasiyokua na fulfilment... Sasa mie nikajiuliza hawa vijana wanaoishi dar... wanatuchukulia vipi sie tunaotoka Mkoa... wanadhani ua tunakuja lia NJAA..kwao auuu??? Acheni ujinga bana, tunakuja na hela zetu za mavuuno ...!!!
Ndio cku nyingine uwe unatoa taarifa kabla haujaondoka huko CTIMBI.
 
Kwn kuona ina ulazima Kamanda wangu? Km vp vamia jamiiforums na nahisi ungefurahia maisha town. KOMA CKU NYINGINE KUTOA LAWAMA ISIYO NA MACHO.
 
Hahaha data pole sana marafiki kuna mda wanayeyusha sana au wamepata marafiki wapya we kimtindo unatokea recyclebin ipo siku nao watakutafuta sio kukuona 2 bali na shda kibao.
 
ningekuwepo ningekuja kukupokea Ubungo kabisa......siku ukija Yaeda......nidip.....

aahhhh... mwasemaga hivyohivyo.... kumbe mwaona aibu.. hamtaki tufahamu mitaaa mnayoishi.. imejaa uchafu
 
Hahaha data pole sana marafiki kuna mda wanayeyusha sana au wamepata marafiki wapya we kimtindo unatokea recyclebin ipo siku nao watakutafuta sio kukuona 2 bali na shda kibao.

sasa kwa nin uwa wanatuzingua saaanaaa ssisi watu wa mkoa... Oooohh naishi dar..!! ukija wanakukimbia.. Thats Mental SLAVERY
 
Ndio kawaida yao mkubwa, halafu sasa wao wakienda mikoani wanataka kusalimia kila mtu utafikiri baba Riz 2
 
Mhhh,Uzoefu wangu ni kwamba Dar ni dunia nyigine...Watu wanaishi kama wako kwenye machimbo ya mawe na huko kwenye mashimo Oxygen haitoshi....Ni jambo linalositikisha ila kama mtu ni mwelewa na mwepesi wa kusoma mazingira, unaweza kuwapotezea na kusubiri hadi waje mikoani..Kuna baadhi ya washikaji heshima imerudi mara tu baada ya kutemblea huku mikoani na kupigwa dinner na mazaga zaga mengine!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom