Marafiki wa mahakama na kesi ya mgombea binafsi

hivi kweli mambo mengine wanahitaji maprofesa ya kuyasema..?

Kwani kigezo cha hao marafiki wa Mahakama kualikwa kilikuwa ni Uprofesa wao?

Mbona Mkurugenzi wa mashtaka wa Zanzibar Othmani Masoud naye yupo, huyu naye angetoa hoja kuunga mkono hoja ya Serikali naye mngemsema kwa lipi? Au mngesema bora wangeitwa maProfesa wengine.
 
Huyu mwenye jina la ajabuajabu sijui kalamagamba au palamagamba kahongwa nini? Anyways ni uhuru wa mawazo lakini sijajua kinachoifanya serikali akatae mgombea binafsi. Au CCM wanaogopa kuendelea kugawanyika?

....aliyemteua kama rafiki wa mahakama katika swala hili alijua wazi Magamba angepayuka nini. Kwa hiyo alipanga hivyo kuridhisha wakubwa zake. Usanii mtupu!! Hivi huyu Palamakambasi ndo yule anayetumika sana na lisirikali katika....
 
My understanding is that, time demands the right conception at right time as well as right people to provide advice... Nyerere really did it when he advised that “this is time to adapt the multipartism” even when the majority (more than 80%) rejected the model. I think Paramagamba’s derivation was based on a wrong time data set. So
 
Yule alietoka zanzibar nikijuwa mwanzo kabisa nini maagizo aliyopewa! Ingawa kwenye kesi ya uhaini kule zanzibar hakuwa na mtizamo huu wa sasa.

Kabudi nae nilijuwa atafuata nyayo za mwakwembe aliyemwacha solemba baada ya ile mijadala ya kikatiba kule tvz zanzibar>
 
Jamani, wenzetu katika nchi zilizoendelea hata jaji kuna baadhi ya kesi hapangiwi hivi hivi,hadi kwanza wanaompangia wajue historia yake, mood,affiliations,msimamo nk. Unategemea nini kesi ya kubaka kwenda kwa madam judge ambaye katika utoto wake alishawahi kubakwa au kushuhudia mwanae akibakwa? hayo ndio hasa tunayoyaona katika hawa marafiki wa mahakama "amicus curiae". Profesa John Palamagamba Kabudi with due respect naomba niseme wazi kuwa he has never been against the state. He is always a statesman, kwa hiyo kwa sisi tunayemfahamu hatukutegemea jipya sana toka kwake. Ni kweli yeye ni professa tena msomi hasa na eneo lake la utaalamu ni family law na nevironmental law wala si constitutional law, hivyo kwa kesi kama ile kama kubobea sana kwenye constitutional law ni mwezi mmoja au miwili alokuwa amejiandaa kwaajili ya kuja kuisaidia mahakama kama rafiki. Wakati professor Jwan Mwaikusa, shivji, Maina hao ndiyo mababa wa constnal law kwa pale mlimani. Mwaikusa has been doing constitutional and administrative law always na hata kwenye law reports anaappear kama wakili. Wapi Kabudi aliwahi kuargue kesi ya katiba? Uwakili wenyewe hajaenda kwenye mtihani Arusha, kaitwa tu na Jaji mkuu kapewa wakati mawakili wengine wote wamefanya na kufaulu paper. Mlitegemea nini? Pia yeye ni consultant mkubwa wa makamu wa Rais na ofisi ya Waziri Mkuu, unategemea angeongea au angekuwa independet kuongea against the feeding him regime?
 
Augustoons.. kutokana na hilo unalosema naona ni vizuri kuwa huyo profesa ndiyo ameesimama upande wa serikali kwa sababu inatupa mwanga wa nini serijkali inafikiria. NI vizuri kusikia upande wa pili na kuujua ili kuweza kuushinda.
 
I think there is nothing wrong for two professors or lawyers to differ as that is what lawyering is all about. In my recollection, Prof. Kabudi is not an advocate so he does not have the advocacy skills and experience to fathom issues. I wholeheartedly agree with Prof. Mwaikusa submission. If we allow such clause to exist in our Constitution we are really digging a grave to our constitutional advancement and protection of human rights in Tanzania. we need to understand that there is what is called constitutionality of the constitution. putting in otherwords, not all document called a constitution qualify to be as such. there is basic attributes of a constitution of a country and those attributes are pre-conditional to the existence of a constitution in functioning democratic government. Lets c what the court will come up with.
 
Aha kumbe!
 
Back
Top Bottom