Marafiki wa kweli

bothlegs

Senior Member
Apr 14, 2009
122
48
Hakuna marafiki wa kweli kama makalio.Kwani makalio yanavaa chupi moja.makalio yanachapwa fimbo moja.Yanakalia kiti kimoja.Jee kuna marafiki wa kweli zaidi ya makalio?Jamba kidogo basi ili kuyafurahisha makalio yako.
 
Back
Top Bottom