Marafiki tushauriane kuhusu sehemu nzuri na cheap kwa vacation

yaani kuna watu wako serious kweli yaani hawana hata muda wa kuwawowa wake zao eti wanaganga njaa, khah!

Maega, katika hao wanaolala na njaa wewe umelisha wangapi? kwani kama kuna wanaolala na njaa mtu usipumzike? hata vidole havilingani? tunafanya mambo kutokana na nafasi na uwezo, hatuwafanyii kazi hao walala njaa. kama hamna kitu cha kumshauri si mnyamaze.
 
mkuu kwa mapumziko ya ukweli vuka bahari nenda zenji. Nakushauri ukifika nenda Nungwi km 100 toka stone town au nenda paje umbali huohuo nakuambia hutajutia fedha zako. Kuna hoteli nyingi kama Amaan bungalows, nungwi in, paje by night etc. Bei ni kuanzia dola 50
 
Back
Top Bottom