Mara yako ya mwisho kutumia Condom ilikuwa ni lini?

Mimi kinachonishindaga kutumia ndom ni ile mmeshakulana ma romansi wote mizuka ipo juu, demu yupo chapachapa anaulilia mkuyenge, halafu wewe unaondoka apo unaenda kuanza kutafuta ndom ilipo, mara uanze kuifungua mpaka uje uivae demu unakuta mzuka wote umeshapotea.
Wangetengeneza ndom zenye mikanda kabisa mtu siku ukiwa na gemu unaivaa tangu unaondoka home kabisa.
Chukua gwara aisee a.k.a LIKE KUBWA kwa comment nzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee huyo malaya anajielewa,unaweza ukasema yule malaya lazima ana ngoma kumbe ana njia zake mbadala
Hahahah kuna siku tena juzi tu hapo nina week 2 nilienda kula malaya. Ebwana ananiuliza unatumia condom au tupime ukimwi? Nikakubali kupima....ana vifaa kabisa. Ikaliwa kavu kavu.

Binafsi siogopi kupima ngoma.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakufa kishujaa tu hapo unavaa mpila tu mzee wangu ndio plan B iliobaki hapo.
Mkuu hebu tuweke hili jambo sawa, maana limenishtua kidogo. Yaani umekutana na malaya, kaja na vipimo, mmepima umekuta yeye anao na wewe huna. Bado utavaa ndom na kupiga mzigo?? Mkuu wewe ni shida aisee hata kama ni ugwadu huo umepitiliza! Mimi nahisi dudu halitaweza kusimama tena asilani katika hali kama hiyo na shughuli itakua imefikia tamati tena ntaondoka eneo la tukio kwa mwendo wa haraka sana..!!!
 
yaan hili balaa langu mbona ni dogo sana kuna watu wanamabalaa ww acha tu huwa kuandika sana sipendi natamani ningekuelezea vzr basi tu ndio hivyo.
 
yaan hili balaa langu mbona ni dogo sana kuna watu wanamabalaa ww acha tu huwa kuandika sana sipendi natamani ningekuelezea vzr basi tu ndio hivyo.

Hapana aisee. Mimi hata nikisikia tetesi tu kwamba demu kaungua siwezi kumsogelea kabisa, sembuse huyo umempima kabisa kitu kimesoma positive halafu bado utumbukize dushee lako humo? Hata univalishe ndom kumi sikubali. Huko ni kumjaribu shetani live kabisa. Ngoma niipate kwa bahati mbaya sio kwa kupenda huku nikiwa na akili zangu timamu.
 
Ni kazi kweli kweli. Kila mwanamke ukimuuliza anasema hatumii condom au zinamletea madhara. Kwamba hizi Condom za siku hizi zinatengenezwa tofauti ?
 
Back
Top Bottom