Mgugu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,165
- 4,398
Kwani nani amesema amekufa?Mchepuko wangu hajafa
Kwani nani amesema amekufa?Mchepuko wangu hajafa
Wewe ni msukuma?Mkuu Mayai ya kisasa HAPANA ila Chipsi jiwe,kwa Mwezi mara moja
Nini maana ya neno marehemu etiKwani nani amesema amekufa?
Ndiyo aliyehamia TarimeWewe ni msukuma?
Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini?
Maana Kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi siku hizi wateja wakubwa ni wa kike tu wa kiume wachache sanaa.
Cc Zero IQ
Nakumbuka Mimi likua 20072009
Niligundua chips yai ni mboga,,labda niitumie kulia ugali
Tatizo huwa mnauza mboga bila ugali, pika na nguna ya mtama hapo niwe mteja wako. Kula chipsi yai ni sawa na kula mchicha af unategemea kushiba,Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini?
Maana Kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi siku hizi wateja wakubwa ni wa kike tu wa kiume wachache sanaa.
Cc Zero IQ
Acha bangi. Hapo nimekosea tu. Mimi chipsi yai siwezi kula kwa sababu sipendi mayai. Hivi uko shule mnajifunzaga nini?Out of topic
Umenikumbusha mshkaji wangu alikuwa anasema hivyo pia eti chips kwake ni kama matunda anakula baada ya ugali..😄Hapana mkuu hiyo lishe wanapendaga wanaume wa daslamu, mimi nikila hivyo hua sishibi labla nile kwanza ugali nikishashiba ndio nitafune hivyo vidude kama vile nakula popcorn.
Mimi chips na ndizi hua hazinibariki kabisa tumboni, yaani nikila baada ya nusu saa tu nasikia njaa kama vile sijala kitu.Umenikumbusha mshkaji wangu alikuwa anasema hivyo pia eti chips kwake ni kama matunda anakula baada ya ugali..
Mwenyeji wa kaskazini lakini ndizi ain't my thing kabisa sijui nimekwama wapi,Mimi chips na ndizi hua hazinibariki kabisa tumboni, yaani nikila baada ya nusu saa tu nasikia njaa kama vile sijala kitu.