Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,470
- 5,050
Bas mkuu zero iq sio mtu mzuri kama anachakata hadi watu, tena ze same sex. Mambo ni mengi kweli.Mkuu ofa ya Zero IQ nakushauri ukae nayo mbali, la sivyo utakuja kusoma humu thread inayozungumzia jinsi alivyokuchakata baada ya kukukaribisha kwenye kiwanda chake cha kuchakata viazi.