sikumbuki mkuu. ni kitamboMara ya mwisho je mkuu
Hapana mkuu hiyo lishe wanapendaga wanaume wa daslamu, mimi nikila hivyo hua sishibi labla nile kwanza ugali nikishashiba ndio nitafune hivyo vidude kama vile nakula popcorn.aiseeeee mkuu Chipsi mayai ni kwa Afya kula upate Vitamini A, B and etc
Hata nikila gunia zima tumbo litajaa muda huo tu ila baada ya nusu saa tu ntasikia njaa, yaani sijui kwa nini hua havikaagi tumboni.Kula ata sahani 4 mkuu utashiba tu
Mkuu ofa ya Zero IQ nakushauri ukae nayo mbali, la sivyo utakuja kusoma humu thread inayozungumzia jinsi alivyokuchakata baada ya kukukaribisha kwenye kiwanda chake cha kuchakata viazi.Nimekuja mbio nikadhani mkuu zero iq umeamua kutoa ofa leo ya chips yai kwenye kiwanda chako. Kumbe promo kama lote.