Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini?

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,670
Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini?


Maana Kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi siku hizi wateja wakubwa ni wa kike tu wa kiume wachache sanaa.




Cc Zero IQ
 
Zero IQ vipi ndugu yangu unakaribia kufunga kiwanda kwa kukosa wateja?
Maana hilo promo lako naona kama unataka kina James nao uwaingize kwenye mchakato wa kuwachakata.
aiseeeee mkuu Chipsi mayai ni kwa Afya kula upate Vitamini A, B and etc
 
Binafsi sipendi mayai....bora yakaangwe yakaushwe ntakula kuliko ya kuchemsha ndio siyawezi kabisa.
So chips mimi naweza maliza mwaka sijala. Chipsi kawaida inaweza kuwa kuchukua hata miezi 3 au 4.

Kachori (za viazi) nakula sana though
 
Hapana mkuu hiyo lishe wanapendaga wanaume wa daslamu, mimi nikila hivyo hua sishibi labla nile kwanza ugali nikishashiba ndio nitafune hivyo vidude kama vile nakula popcorn.
Kula ata sahani 4 mkuu utashiba tu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom