Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini?

SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
4,984
Points
2,000
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
4,984 2,000
Mara ya mwisho ilikuwa 2017.
Hata hivyo niliumia sana kukosa chakula na ilikuwa usiku.
Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini?


Maana Kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi siku hizi wateja wakubwa ni wa kike tu wa kiume wachache sanaa.
Cc Zero IQ
 
mazojms

mazojms

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Messages
443
Points
500
mazojms

mazojms

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2017
443 500
Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini?


Maana Kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi siku hizi wateja wakubwa ni wa kike tu wa kiume wachache sanaa.
Cc Zero IQ
Tatizo huwa mnauza mboga bila ugali, pika na nguna ya mtama hapo niwe mteja wako. Kula chipsi yai ni sawa na kula mchicha af unategemea kushiba,
 
SweetieLee

SweetieLee

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2018
Messages
442
Points
1,000
SweetieLee

SweetieLee

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2018
442 1,000
Hapana mkuu hiyo lishe wanapendaga wanaume wa daslamu, mimi nikila hivyo hua sishibi labla nile kwanza ugali nikishashiba ndio nitafune hivyo vidude kama vile nakula popcorn.
Umenikumbusha mshkaji wangu alikuwa anasema hivyo pia eti chips kwake ni kama matunda anakula baada ya ugali..😄
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,419
Top