Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini?

Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Messages
1,901
Points
2,000
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2014
1,901 2,000
Mkuu ofa ya Zero IQ nakushauri ukae nayo mbali, la sivyo utakuja kusoma humu thread inayozungumzia jinsi alivyokuchakata baada ya kukukaribisha kwenye kiwanda chake cha kuchakata viazi.
Bas mkuu zero iq sio mtu mzuri kama anachakata hadi watu, tena ze same sex. Mambo ni mengi kweli.
 
F

FK21

Senior Member
Joined
May 27, 2019
Messages
120
Points
225
F

FK21

Senior Member
Joined May 27, 2019
120 225
Binafsi sipendi mayai....bora yakaangwe yakaushwe ntakula kuliko ya kuchemsha ndio siyawezi kabisa.
So chips mimi naweza maliza mwaka sijala. Chipsi kawaida inaweza kuwa kuchukua hata miezi 3 au 4.

Kachori (za viazi) nakula sana though
Out of topic
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,485
Top