Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
2,477
2,360
Nikiwa katikati ya kundi langu la kijiweni huko kwetu kunaitwa Jamaica camp nikasema acha na mimi nijaribu kuvuta leo hiyo bangi nione.

Duh nikavuta bonge la msokoto wa bangi kilichofuata akipita kuku au inzi mimi kucheka tu, baadae nikajisaidia haja kubwa tena nilijificha nyuma ya mchaichai nikihisi nipo kwenye bonge la msitu na nilipomaliza nilikula ugali mkubwa sana haikuishia hapo baadae nikawa nikitembea barabarani nikawa nahisi barabara inatitia na nilipolala kitanda kikawa kinazama.

Sitaki bangi tena.
 
Teh teh teh. Nimesahau watu wote nilikuwa nawaona kama watoto wa chekechea
 
du...
1521866_666018816769149_1078987164_n.jpg
 
Nikiwa katikati ya kundi langu la kijiweni huko kwetu kunaitwa jamaica camp nikasema hacha na mimi nijaribu kuvuta leo hiyo bangi nione.
150421_412083548901965_1468330925_n.jpg

duh nikavuta bonge la msokoto wa bangi

546065_433941633307954_335316865_n.jpg

kilichofuata uku aakiipta kuku au inzi mimi kucheka tu,
995455_417411948369125_316932459_n.jpg

baadae nikanya mavi mengi sana,
1384356_458596957583957_25689397_a.jpg

tena nilijificha nyuma ya mchaichai nikihisi nipo kwenye bonge la msitu
faida.jpg

na nilipomaliza nilikula ugali mkubwa sana
1151066_434593213317665_975366819_n.jpg

haikuishia hapo baadae nikawa nikitembea barabarani nikawa nahisi barabara inatitia na nilipolala kitanda kikawa kinazama.sitaki bang tena

1535577_493766524067000_1088619035_a.jpg
 
Back
Top Bottom