Mara yako ya kwanza ilikuwaje?

dudupori

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
1,793
1,903
Wakuu itakuwa sio vibaya tukikumbushia enzi hizo mara yako ya kwanza kwenda dukani or pharmacy kununua kinga, puto a.k.a c*ndom, ilikuwakuwaje. Mie nakumbuka nilipiga hodi dukani zaidi ya mara tatu, mara zote nkifika tu shop naahirisha kwa kuona soo, vp nyie wadau kwenu ilikuwaje japo najua sio kwa wote waliowahi tumia hii bidhaa.
 
mwanzo zilikuwa zinagawiwa bure kwenye mikutano ya waelimishalika, na walikuwa wanatufundisha jinsi yakutumia.
 
Wakuu itakuwa sio vibaya tukikumbushia enzi hizo mara yako ya kwanza kwenda dukani or pharmacy kununua kinga, puto a.k.a c*ndom, ilikuwakuwaje. Mie nakumbuka nilipiga hodi dukani zaidi ya mara tatu, mara zote nkifika tu shop naahirisha kwa kuona soo, vp nyie wadau kwenu ilikuwaje japo najua sio kwa wote waliowahi tumia hii bidhaa.

Mi zilikuwepo tu ghetto, mabro walikuwa wanaupdate tool box kila mara.
Nimekuja kuzinunua baadae sana...
 
mkuu umewaza nini?

Mkuu unajua leo nlikuwa pharmacy mida ya mchana akaja dogo mmoja kiumri kama 17yrs hivi, kwa namna alivyoziagiza bila hata chembe ya woga kama anahitaji panadol vile, ndo hapo nkapata wazo enzi hizo kwenda kuinunua lazma nianze kupiga hesabu sana.
 
rough rider ni nzuri sana, wala haziwashi, zinaongeza hamu kwa upande wa mwanamke. Try it, but dont try at home.

Hahaaaa.... Akajaribie wapi ss mkuu, kichakani au? Maana guest cku hizi watu wanagandana.
 
dah haya mambo magumu aise
Unaenda pharmacy unaangalia kama kuna mtu unamfaham au kama ni mtu mzima hivi unaona soo aise kuagiza unazuga unaangalia dawa au unaagiza asprin kumbe shida yako ni madude
Duh ni balaa mkuu aise
 
Wapi sasa Guest au uchochoroni?

..., kwa sababu ya raha na utamu unaosikia, ukiwa unatumia rough rider, kama mara ya kwanza lazima utapiga uyohe tu! Mpaka majirani watasikia, na jamaa yako yawezekana hasiitumie tena kwa kuogopa fedheha.
 
dah haya mambo magumu aise
Unaenda pharmacy unaangalia kama kuna mtu unamfaham au kama ni mtu mzima hivi unaona soo aise kuagiza unazuga unaangalia dawa au unaagiza asprin kumbe shida yako ni madude
Duh ni balaa mkuu aise

Umenikumbusha matangazo ya haya makitu!!!
Vigugumizi kibao!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom