dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,793
- 1,903
Wakuu itakuwa sio vibaya tukikumbushia enzi hizo mara yako ya kwanza kwenda dukani or pharmacy kununua kinga, puto a.k.a c*ndom, ilikuwakuwaje. Mie nakumbuka nilipiga hodi dukani zaidi ya mara tatu, mara zote nkifika tu shop naahirisha kwa kuona soo, vp nyie wadau kwenu ilikuwaje japo najua sio kwa wote waliowahi tumia hii bidhaa.