Mara ya mwisho kuokota hela ilikuwa lini?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
1483186779516.jpg
 
Kuna watu wanapoteza siku hizi, watu siku hizi hawanahizo hela za kupoteza. Ila kiukweli kabisa xmas nimepita barabarani nikaona sh 200 nikaiacha. Siwezi kuchukuliwa nyota kwa sh 200
 
Hivi mshana harudishagi nyota?
 
Back
Top Bottom