Mara ya kwanza kufika katika jiji la Seoul nchini Korea kusini nikapotea na kupotea

Maui acha kuwadanganya watu humu JF huko korea wengine tushaishi hadithi zako peleka huko Facebook, hhgrrhgg ati ukapotea then unaweka picha za Mghana ambae kweli nimaarufu hapa korea.
우키는 TV
Ufungua hio link utamuona, acha kutafuta kiki za kijinga.
asante kwasi ....kunywa balimi hapo seoul nakuja kulipa
 
60b885c8bdd47ebd2793c87a245fc5ad.jpg
nilienda kufata biashara nchini korea kusini maana mizigo yangu huwa nachukuliaga japani sasa nikaona niende nchini korea kusini maana watu wanapasifu sana sasa NILIVYO tinga tu uwanja wa ndege balaaaa mara kajisogeza binti ananiongelesha ki gojoseon mtu nikakaa kimya baadae kidogo akatoa simu kumbe alikuwa anataka tupige nae picha.
Akaondoka sijakaa vizuri mtu mwingine tena akaja akafyotoa picha
2b2d58b8a2a32dd5ce05d81cd48c63d7.jpg
kuna mtu alikuwa anakuja kuniijia Airports sasa kumbe mtu amekuja akanikosa watu wakaendelea kufyotoa maserfie tuu yahatarii sahizi nimetoka kituo cha police maana nilipotea ikabidi wampigie simu yule mwenyeji wangu aje
7ce2de5431d308cae6020f57f86e7b9b.jpg
Wewe jamaa nimekudharau sana
Hizi si picha za mtandaoni!
IMG_2803.PNG
 
ingependeza km kungekuw n ht maswal machache y kujieleza mfano wa interview ambayo m2 anangepewa ili kupima ufahamu wake w akili ht kdogo kabla ya kujiunga humu labda ingesaidia kupunguza au kuondoa kbsa majitu kama hili n ufacebook wao
 
Heriet Paul alisemaga walimshangaaga sana alienda kufanya photoshoot Skorea
anasema eti hawafahamu watu weusi wanaonaga kama maajabu
 
Back
Top Bottom