Mara: Wachina wanne wakamatwa wakitorosha mchanga wenye madini/makinikia

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,193
25,497
Jeshi la Polisi limewakamata Wachina wanne wakitorosha makinikia kwenda Dar es Salaam kinyume cha Sheria. RPC wa Mara amethibitisha. Mchanga huo una madini aina tofauti

RPC amesema polisi waliweka mtego na kunasa magari yaliyokuwa na wachina hao wakitorosha makinikia yanayokadiriwa kuwa na kilo 400. RPC huyo amewaonya wote wanajihusisha na mambo kama hayo kuacha mara moja!

Chanzo:ITV Habari
 
makinikia kilo 400? duu...
hayo ni marudio?makinikia au magwangala...?
Ila pongezi kwa jeshi la polisi. Mchina alitaka kutupiga katikati ya vuguvugu la makinikia hiyo dharau sasa...
 
Back
Top Bottom