Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Mnaojiita UKAWA kama kweli upo au umeshageuka UKIWA, mnashangaza sana. Mwanzo mlisema Rais DR MAGUFULI anafuata Ilani ya CHADEMA. Wakati wa Bomoa Bomoa mnasema ni ILANI YA CCM na Mbunge wenu wa Kinondoni anakwenda Mahakamani kupinga utekelezaji wa 'ILANI YA CHAMA CHAKE'. Vipi ninyi mbona mnababaisha?????