Mara Paap! Taifa Stars hii Hapa World Cup!! Itakuwaje?

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,452
10,698
Ndio Tunaiombea Team Yetu ya Taifa ishiriki World Cup 2022.

Ndio imesha qualify sasa.
Mara paap imepangwa kundi moja na Team kama France, England, Brazil, Germany, Italy, Belgium n.k hivi tutatoboa?

Kwa Afrika Timu zinazoongoza Makundi ni

1.Algeria
2.Tunisia
3.Nigeria
4.Ivory Coast
5.Mali
6.Egypt
7.South Africa
8.Senegal
9.Morocco
10.Tanzania.

Zinahitajika Timu 5 kushiriki world cup.

Tukifuzu hatua hii ya Awali tutapangiwa na kigogo mmoja wapo kati ya namba 1 hadi 9 hapo juu. Endapo matokeo yataendelea kuwa hivi.

Kazi iloyopo hapo si ndogo kwa kweli.
 
Back
Top Bottom