Mara paap! Lulu kaachiwa huru!!!!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,754
22280562_122682508485945_3873310466558132224_n.jpg

Ndio kwanza anatimiza masaa 24, kifungoni gerezani... Bado masaa mengi sana ukizidisha mara miezi 24... Wote hatujui hali aliyonayo japo tunaweza kukisia.... Lakini ni vema roho yake ikubaliane na hii adhabu ili jinamizi la mikosi limkome, akitoka aliache huko huko.... Sema AAAMEN...!!

Kufa kufaana, kuna haters wake wamefurahi sana ila kuna wanafiki wamemtolea machozi ya mamba kumbe mioyoni mwao fikra zao ni tofauti kabisa... Kuna wanaodhani Lulu hatakaa atoke huko gerezani.. Hawa kwasasa wanaongea kila aina ya maneno mbofumbofu.

Kuna hiki kisa cha kweli cha binti ambaye sasa ni maarufu tu Kwenye tasinia ya utangazaji... Huyu maisha yalimpiga kufikia hatua ya kumuibia mwanaume gesti,... Wiki moja baadae alikamatwa na kupelekwa central police DSM, pale alikaa zaidi ya siku kumi kisha akaachiwa huru... Mlalamikaji aliamua kufuta kesi

Nyumba aliyokuwa akiishi (alikuwa na vyumba viwili) akakuta majirani wamevunja na kugawana vitu vyake vyote nguo mpaka samani... Alifika pale asubuhi na kuwaacha na taharuki kubwa kila mmoja akijitetea kivyake, waligawana mpana chupi zake kwa kisingizio kwamba waliambiwa kuwa kahukumiwa kifungo cha maisha jela..... Kwa kifupi walipata aibu ya mwaka!

Lulu ndio kwanza kaanza kutumikia kifungo chake ni cha miaka miwili tu lakini lolote laweza kutokea hapo katikati na akaachiwa huru... Naona kuna mtu mmoja keshamuahidi kuwa 'baba anakuja'. Lulu anaweza kutoka kwa msamaha wa rais (baba?), msamaha wa palore ama kushinda rufani

Huyu hakuwa na mume rasmi Kwahiyo nyumba yake inaweza kuwa chini ya uangalizi wa watu wengine wa karibu yake ndugu ama marafiki..... Hawa wawe makini sana wasishikwe na tamaa za kijinga na kuanza kugawana vitu vyake wakidhani hatakaa atoke ama atafia huko jela (wapo wanaoomba hizi dua)... Hawa wakifanya hivyo watakuja kuumbuka vibaya sana tena bila kutegemea

Lulu alikuwa na mpenzi/wapenzi lakini pia alikuwa na mashoga na mashosti hawa nao waache tamaa, wasimpindue rafiki yao.. Maana wengine wameshaanza mikakati ya kusalandia masemegi.... Kuna watu wana ndimi mbili wakiyanyaka huku nje fasta watampelekea Lulu huko lokupu, na huko nako watachukua ya huko na kuyaleta mtaani
Natahadharisha tu.... Lolote laweza kutokea na LULU akarudi mtaani.
 
View attachment 630779ndio kwanza anatimiza masaa 24, kifungoni gerezani... Bado masaa mengi sana ukizidisha mara miezi 24... Wote hatujui hali aliyonayo japo tunaweza kukisia.... Lakini ni vema roho yake ikubaliane na hii adhabu ili jinamizi la mikosi limkome, akitoka aliache huko huko.... Sema AAAMEN...!!
Kufa kufaana, kuna haters wake wamefurahi sana ila kuna wanafiki wamemtolea machozi ya mamba kumbe mioyoni mwao fikra zao ni tofauti kabisa... Kuna wanaodhani Lulu hatakaa atoke huko gerezani.. Hawa kwasasa wanaongea kila aina ya maneno mbofumbofu.......
Kuna hiki kisa cha kweli cha binti ambaye sasa ni maarufu tu Kwenye tasinia ya utangazaji... Huyu maisha yalimpiga kufikia hatua ya kumuibia mwanaume gesti,... Wiki moja baadae alikamatwa na kupelekwa central police DSM, pale alikaa zaidi ya siku kumi kisha akaachiwa huru... Mlalamikaji aliamua kufuta kesi
Nyumba aliyokuwa akiishi (alikuwa na vyumba viwili) akakuta majirani wamevunja na kugawana vitu vyake vyote nguo mpaka samani... Alifika pale asubuhi na kuwaacha na taharuki kubwa kila mmoja akijitetea kivyake, waligawana mpana chupi zake kwa kisingizio kwamba waliambiwa kuwa kahukumiwa kifungo cha maisha jela..... Kwa kifupi walipata aibu ya mwaka!

Lulu ndio kwanza kaanza kutumikia kifungo chake ni cha miaka miwili tu lakini lolote laweza kutokea hapo katikati na akaachiwa huru... Naona kuna **** mmoja keshamuahidi kuwa 'baba anakuja'...... Lulu anaweza kutoka kwa msamaha wa rais (baba?), msamaha wa palore ama kushinda rufani
Huyu hakuwa na mume rasmi Kwahiyo nyumba yake inaweza kuwa chini ya uangalizi wa watu wengine wa karibu yake ndugu ama marafiki..... Hawa wawe makini sana wasishikwe na tamaa za kijinga na kuanza kugawana vitu vyake wakidhani hatakaa atoke ama atafia huko jela (wapo wanaoomba hizi dua)... Hawa wakifanya hivyo watakuja kuumbuka vibaya sana tena bila kutegemea
Lulu alikuwa na mpenzi/wapenzi lakini pia alikuwa na mashoga na mashosti hawa nao waache tamaa, wasimpindue rafiki yao.. Maana wengine wameshaanza mikakati ya kusalandia masemegi.... Kuna watu wana ndimi mbili wakiyanyaka huku nje fasta watampelekea Lulu huko lokupu, na huko nako watachukua ya huko na kuyaleta mtaani
Natahadharisha tu.... Lolote laweza kutokea na LULU akarudi mtaani.....
aombe sana Mungu azikute salama Mali zake maana mama ake Yule du

kuhusu msamaha nasikia kosa lake haliruhusu kupata msamaha sijui ni kweli ama but Mungu ampe wepesi waliowengu wanamuhuria kinafiki
 
Huwa naheshimu mabandiko yako mkuu ...ngoja nirudie kusoma ikitokea la kutokea niwe wa kwanza kuwakumbusha wanajamvi
 
Back
Top Bottom