Tundu Lissu akiwa DPP mpya, unadhani nini kitatokea?

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,951
12,535
Inaweza kuwa kama ndoto, lakini mambo haya hutokea.

Hakuna aliyejua kuwa Mzee John P. Magufuli angekufa mwezi uliopita. Wengi walidhani na hata kuanza kufikiri kubadili katiba ya nchi ili imruhusu atawale milele.

Yaani walidhaniaga ni kweli kabisa yeye ni JIWE na kwa hiyo haliwezi kufa kwa sababu liliumbwa hivyo....kutokufa..!

Mara paah, katika wakati ambao hakuna aliyedhani na from NO WHERE mzee wa watu kabatizwa jina jipya, "MWENDAZAKE".....yaani akafa kifo cha mwili, kifo cha kawaida.

Sasa lipo hili. Ni gumu lakini FROM NO WHERE, linaweza kutokea hata kuacha midomo ya wahifidhina wa CCM wazi wasijue nini kimetokea na nini cha kufanya kuzuia lisiwe.!

Si mama a.k.a "Malkia wa sauti nyororo" amesema, ktk kuteua watu wa kumsaidia na kusadia kusukuma maendeleo ya nchi mbele hatajali sana "kuta" za itikadi za kisiasa...?

Sasa, fikiri nje ya box kidogo.

Kwamba, mara waaah bin vuuh, anaamua kusafiri hadi Ubelgiji na kuamua kumleta Tundu A. M Lissu na kisha kumteua kuwa DPP, unafikiri nini kitatokea..?

Wallahi, CCM kutachafuka. Nafikiri pia kuwa, serikali yote ukiondoa Rais Samia Suluhu Mwenyewe itakuwa "under cold protest" kwa hofu ya usalama wao...!!

Remember this, THERE IS NOTHING IMPOSSIBLE UNDER THE SUN.
 
Kama Kweli Mh Samia Raisi wetu amedhamilia kuchanganya na asiye wa Chama chake kufanya kazi ktk serikali yake, na ambapo pia ni Jambo Jema linaloleta amani, na ingawa Kweli pia serikali inapokuwa haifanyi vizuri, na ikichafuka kupitia mtu mmoja inawachafua wote hata na wasiokuwa wa Chama hicho...!

Basi ningependa Mh lissu ateuliwe kuwa waziri wa mambo ya nje! Nafasi hiyo anaiweza na atafanya vizuri kuliko hiyo ya sheria,

Itamfaa Sana huyu jamaa
 
Inaweza kuwa kama ndoto, lakini mambo haya hutokea...

Hakuna aliyejua kuwa Mzee John P. Magufuli angekufa mwezi uliopita. Wengi walidhani na hata kuanza kufikiri kubadili katiba ya nchi ili imruhusu atawale milele...

Yaani walidhaniaga ni kweli kabisa yeye ni JIWE na kwa hiyo haliwezi kufa kwa sababu liliumbwa hivyo....kutokufa..!

Mara paah, katika wakati ambao hakuna aliyedhani na from NO WHERE mzee wa watu kabatizwa jina jipya, "MWENDAZAKE".....yaani akafa kifo cha mwili, kifo cha kawaida..

Sasa lipo hili. Ni gumu lakini FROM NO WHERE, linaweza kutokea hata kuacha midomo ya wahifidhina wa CCM wazi wasijue nini kimetokea na nini cha kufanya kuzuia lisiwe.!!

Si mama a.k.a "Malkia wa sauti nyororo" amesema, ktk kuteua watu wa kumsaidia na kusadia kusukuma maendeleo ya nchi mbele hatajali sana "kuta" za itikadi za kisiasa...?

Sasa, fikiri nje ya box kidogo.

Kwamba, mara waaah bin vuuh, anaamua kusafiri hadi Ubelgiji na kuamua kumleta Tundu A. M Lissu na kisha kumteua kuwa DPP, unafikiri nini kitatokea..?

Wallahi, CCM kutachafuka. Nafikiri pia kuwa, serikali yote ukiondoa Rais Samia Suluhu Mwenyewe itakuwa "under cold protest" kwa hofu ya usalama wao...!!

Remember this, that, NOTHING IS IMPOSSIBLE UNDER THE SUN...
Lisu maneno kibao hana hekima ya kupewa cheo nyeti kama hichoo. Yeye aendelee kunufaisha wana mitandaoni huko huko
 
Yani nyie mnavituko mnadhani Lissu ni Anna yule Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Lissu ndio MTU pekee alikuwa na uwezo wa kumsema na kumkosoa Magufuli katika hii Nchi,ndio mwanaume pekee aliye mgaragaza Magufuli huku Nchi nzima mkiwa mumejifunika mashuka mnaangalia movie yao hebu kuwa serious kidogo basi.

Halafu Leo uje MPE cheo cha DPP cheo kidogo kuliko piliton huko kutakuwa kumdharirisha.cheo pekee kinacho mfaa lissu ukitoa huo Urais labda Waziri kwa mbali sana.
 
Lissu hatakubali uteuzi wo wote na hatakaa afanye kazi ndani ya serikali ya CCM. Huo kwake utakuwa ni usaliti na mwisho wa harakati zake. He is too principled to fall for this trap.

Lissu abakie hivyo hivyo na role yake "as a watchman on the tower" huku akila dola za mabeberu bila huruma.
IMG-20210510-WA0049.jpg
 
Inaweza kuwa kama ndoto, lakini mambo haya hutokea...

Hakuna aliyejua kuwa Mzee John P. Magufuli angekufa mwezi uliopita. Wengi walidhani na hata kuanza kufikiri kubadili katiba ya nchi ili imruhusu atawale milele...

Yaani walidhaniaga ni kweli kabisa yeye ni JIWE na kwa hiyo haliwezi kufa kwa sababu liliumbwa hivyo....kutokufa..!

Mara paah, katika wakati ambao hakuna aliyedhani na from NO WHERE mzee wa watu kabatizwa jina jipya, "MWENDAZAKE".....yaani akafa kifo cha mwili, kifo cha kawaida..

Sasa lipo hili. Ni gumu lakini FROM NO WHERE, linaweza kutokea hata kuacha midomo ya wahifidhina wa CCM wazi wasijue nini kimetokea na nini cha kufanya kuzuia lisiwe.!!

Si mama a.k.a "Malkia wa sauti nyororo" amesema, ktk kuteua watu wa kumsaidia na kusadia kusukuma maendeleo ya nchi mbele hatajali sana "kuta" za itikadi za kisiasa...?

Sasa, fikiri nje ya box kidogo.

Kwamba, mara waaah bin vuuh, anaamua kusafiri hadi Ubelgiji na kuamua kumleta Tundu A. M Lissu na kisha kumteua kuwa DPP, unafikiri nini kitatokea..?

Wallahi, CCM kutachafuka. Nafikiri pia kuwa, serikali yote ukiondoa Rais Samia Suluhu Mwenyewe itakuwa "under cold protest" kwa hofu ya usalama wao...!!

Remember this, that, NOTHING IS IMPOSSIBLE UNDER THE SUN...

Tatizo mnamkuza sana Lissu as if Sio binadamu. Wakati facts zinaonyesha kabisa kuwa hata kujitawala tu hawezi. Kuwa kiongozi Ni zaidi ya kuwa mpiga kelele bila Break.

Lakini upande wa Pili wa Shilling mtu anaposema Ukweli kuhusu haya sio adui. Kosa kubwa Ni nyie kufumba macho na mkamfananisha na Dr. Slaa. Ambaye utendaji Wake wenye matokeo ulionekana. Mnabaki na wapiga domo tu.

Ndio Tz. Ona hata wasomi wakali unakuta Ana followers 10 Lakini mkaa uchi au hata james delicious hana malaki ya followers mtandaoni. Ukubwa wa Pia sio wingi wa kamasi. Yeye atulie ubelgiji Kuna mfaa. Au awe mwanachama wa taarabu.
 
Akili kubwa sana hapa Jf ndio hizi sasa.... unprejudiced heshma kwako mkuu
 
Kwamba Lisu akubali kufanya kazai na ccm?

Bavicha watapata kibarua kingine cha kumgeuka na kuanza kumtukana lisu
 
Back
Top Bottom