Mara paaa!! Lowasa Arejesha kadi ya chadema.

Tatizo la siasa za Afrika sehemu nyingi ni kwamba zinazungukia watu badala ya sera.
 
Mara paaa mtu kakushtua usingizi ukakata ndoto yako ikaishia hapo hapo.
Ndo hivyo hivyo mlivyosema .... oooh NDOTO hiyo LOWASSA hawezi hama CCM ... na hata akihama CHADEMA CHAMA MAKINI HATUWEZI KULIPOKEA HILO JIZI .... but alipokuja huko huyo mlomwita JIZI kawa RAIS WA MIOYO YENU .... makamanda wote kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa kama mlonyeshewa MVUA YA VULI .... hebu waone makamanda wenzio
IMG-20170617-WA0015.jpeg
 
Ndo challenge hizo hivi hujui ile nyomi ya moshi Jana watu hatujalala usingizi!?
 
Mara lowasa kupokelewa rasmi dodoma
Ungejisikiaje?
Ningeoga maji ya kuondoa mikosi.maana ni ndoto mbaya kuwahi kutokea kwa mwanaadam wa leo hii tena katika dunia hii.ushauri wangu we muanzisha huu uzi."lala kisha nawa uso,usipige mswaki maana kinywa chako hakitanuka.ndipo uamke sasa
 
Mkuu bora iwe ndoto tu kwakweli
 
Back
Top Bottom